Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kashindwa vita halafu anakalia maeneo ya aliyeshinda kwa mabavu na kujenga nyumba za settlers. Unamaanisha nini sasa hapo?Au kuchanganyikiwa?Israel kashindwa vita ila maeneo yote ya west bank mpaka sahivi anayakalia kimabavu na anazidi kujenga nyumba za walowezi
Israel kashindwa vita ila huwezi ingia msikiti wa al aqsa bila ruhusa yake