Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!

Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine??

pager
a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen



View attachment 3098853View attachment 3098855

Pagers explode across Lebanon, injuring dozens of people including Hezbollah members​



Dozens of members of the Lebanese militant group Hezbollah have been seriously wounded after pagers they use to communicate exploded, security officials say.


Tuesday 17 September 2024 15:42, UK


Hizo pager hata zikiripuka hazina impact kubwa Israel kaishiwa [emoji1]
Kaishiwa vipi ndugu mbona kobazi kwa ubishi mpo vizuri yaani ndugu zako katika imani hezbollah wamekula shambulizi la kiteknolojia majeruhi ni wengi watu wamefurika hospitali hawana makagari, hawana macho, wengine hawana tako, wengine utumbo umevunjika wewe unasema israel haina kitu
 
Kaishiwa vipi ndugu mbona kobazi kwa ubishi mpo vizuri yaani ndugu zako katika imani hezbollah wamekula shambulizi la kiteknolojia majeruhi ni wengi watu wamefurika hospitali hawana makagari, hawana macho, wengine hawana tako, wengine utumbo umevunjika wewe unasema israel haina kitu
Pager inawekwa jichoni 😄 kweli wakristo jifurahisheni tu tulieni moto unakuja hata US na yeye atapokea kichapo hapo karibuni.
 
Unabisha hawakufa au unakubali walikufa?
Ila mwamba hongera sana,wewe ni zaidi ya kikosikazi.

Hii inaitwa "the strongest man is the one who stands alone, always majority are liars".
Umepambana na vikosi kibao ila vimekushindwa kwenye huu uzi.

Watu wanajigongagonga na ngonjera za abunuasi ila wewe unawalipua bila huruma.
 
Yaan Israel ni kituko sasa huyo ni hizbollah? Ni kama anacho fanya gaza anaua raia kwa percentage kubwa anaacha Hamas alafu anategemea vita iishe itaishaje kama wahusika bado wapo? Sasa kuhusu kuua watoto palestine nao wana himizana ndani ya miezi kumi wamezaliwa watoto mara mbili ya waliokufa yaani vita huku pia kuzaliana kunaendelea
Labda ndo wenye nguvu wanavyotaka iwe, vita isifike mwisho, unlimited demand of weapon. Hii dunia ukitaka amani dhibiti biashara ya silaha.
 
Motorola ni kampuni ambayo kwa sasa wamiliki ni Wachina, Lenovo

Isingekuwa rahisi Mchina kukubali pagers zilizotengenezwa na Motorola zitumike kwenye shambulio hilo
 
Hizo pagers zilizolipuka zilitengenezwa Taiwan.

Na ukweli ni kwamba utengenezaji wa semiconductors nchini Taiwan uko chini ya Marekani

Supplier wa chips zilizotumika kwenye hivyo vifaa sio Israel
Ni US anafanya afu Israel anajisifia ni yeye kafanya, kama ile yakupiga Yemen 😄 Any way ni vijana wawili wa Hezbullah ndio walio kufa wengine walizitupa hizo pager walipo ona zimechemka.
 
Acha kupotosha wewe Israel ana vita nyingi kashindwa ikiwemo zile kabla ya 1948.
KAMA UKITAKA SEMA TUKUTAJIE.
Hususan vita za kuanzia 2000 kuja 2024 takriban zote kashindwa.
Ukitaka sema tukutajie.
Washukuru tu USA,UK na Germany inawapa tafu.
Laa sivyo wasingetoboa hao.
Vita ya Oktoba 7 tu imewamalizia askari wengi sana na kuleta askari walemavu zaidi ya elfu sabini.
Israel kashindwa vita ila maeneo yote ya west bank mpaka sahivi anayakalia kimabavu na anazidi kujenga nyumba za walowezi

Israel kashindwa vita ila huwezi ingia msikiti wa al aqsa bila ruhusa yake
 
Back
Top Bottom