T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Ni lini umewahi ona Israel inaanzisha vita.Kabla hujashabikia kuhuzu israel kuipiga hezbollah lazima ujue kwamba makamanda wote israel wanmpinga netanyahu wazi wazi na kwamba anapigana sio kwa faida ya israel bali utashi wake wa kisiasa ikiwemo kukwepa kupelekwa mahakamani na kuendelea kukaa madarakani
Waziri wake wa vita benny gantz alimpinga waziwazi akajiuzulu na hadi sasa
As we speak waziri wa ulinzi wa sasa gallant nae anampinga waziwazi kwa kumwambia kwanza hawezi kupata total victory dhidi ya hamas na kwamba anadanganya ulimwengu
Maeneo yote aliyoyadhibiti gaza yote kwa sasahivi yamesharudi kwa hamas
Na sasahivi netanyahu anatishia kumfukuza gallant ingawa marekani anazuia hilo
Na lazima ujue kwamba israel kaishiwa wanajeshi sasahivi anachukua wahamiaji anawaingiza jeshini, sasa jiulize kupigana na mgambo kama hamas kaishiwa nguvu ,kwa hali ya sasa akipigana na hezbollah atapotea mazima atapigwa kipigo cha paka mwizi
Haya soma hapo taaria kutoka newyork times uelewe na uone makamanda wakuu wa isreal wanasemaje kuhusu netanyahu na uongo wake,uacha kushabikia kama zombie
Israel huwa inajibu mashambulizi wala haianzi. Ukiona imeanza hiyo ni preemptive na kila mtu anajua adui atashambulia. Kwahiyo kudhani Netanyahu atashambulia bila taarifa za kiintelijensia sahau.