Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Waliokuwa wanapigana wakati huo walikuwa ni UK, USA, France na mataifa rafiki na sio wayahudi
UK ilipeleka wanajeshi wangapi?
USA nayo?
France nayo?

Wayahudi waliungana wakawatandika watoto wadogo. Walikuja kama utitiri wakapigwa na idadi kubwa ya vifaa na wanajeshi. Myahudi yuko pale ametulia na hatoki leo wala kesho. Na nchi itakayojitia kisebengo kumvamia, kama ni jirani anaikalia ardhi yake mpakani kwa mabavu.
 
Umejuaje missiles zimepiga kama wanaotakiwa kuwa na taarifa walijificha?

Kama huna picha na video, una ushahidi gani kuna madhara yalitokea?

Magaidi wenzio tunao ushahidi Wizara ya Afya imezidiwa uko kuwatibu watu maelfu na mamia. Vifo kibao na bado.
Maswali ya kipumbavu kabisa haya,basi hapo mwenyewe unajiona unauliza maswali konki kinoma! Hayo maswali hata mtoto wa darasa la pili hawezi kuyauliza,

Hivi unajua ni kwanini Hamas hua wanarekodi attacks zao wanapowapiga hao mabwana zako?
 
UK ilipeleka wanajeshi wangapi?
USA nayo?
France nayo?

Wayahudi waliungana wakawatandika watoto wadogo. Walikuja kama utitiri wakapigwa na idadi kubwa ya vifaa na wanajeshi. Myahudi yuko pale ametulia na hatoki leo wala kesho. Na nchi itakayojitia kisebengo kumvamia, kama ni jirani anaikalia ardhi yake mpakani kwa mabavu.
USA pekeake ilipeleka wanajeshi zaidi ya 5000 na ndege vita zisizopungua 250
 
Sawa tutaona mwambie basi America asimsaidie na hao Western kama atabaki hapa hata nusu siku. Anasaidiwa na America na Western na bado anaharisha.
Israel haijaanza kupigana na Waarabu na nchi nyingine huko Mashariki ya Kati jana wala leo. Hizi vita amekuwa akipigana hata kabla ya Yesu kuja duniani. Na mara zote amekuwa akiibuka mshindi pamoja na kwamba na yeye pia hupata madhara. Haijalishi anasaidiwa au hasaidiwi- Ushindi kwa Israel dhidi ya adui zake huwa ni kitu kiko wazi. Mnaweza kuongea vyovyote mnavyoweza, mkabeza, mkatukana nk. Lakini ukweli uilo wazi ni kwamba "Israel is there to stay no matter what happens" mpaka kusudi la Mungu litakapotimia.
 
UK ilipeleka wanajeshi wangapi?
USA nayo?
France nayo?

Wayahudi waliungana wakawatandika watoto wadogo. Walikuja kama utitiri wakapigwa na idadi kubwa ya vifaa na wanajeshi. Myahudi yuko pale ametulia na hatoki leo wala kesho. Na nchi itakayojitia kisebengo kumvamia, kama ni jirani anaikalia ardhi yake mpakani kwa mabavu.
On October 6, 1973, Egypt and Syria launched a coordinated surprise attack on Israeli forces in the Sinai and the Golan Heights. Israel ultimately repelled the attack and regained lost ground, but only after the United States made the decision to supply the Israeli military.

Arab-Israeli War 1973 - state.gov

Feedback
About featured snippets

People
 
Marekani alitumia kwa ujasusi,hazikua loaded
Zikiwa za ujasusi haziitwi drone? Mbona zipo surveillance drones kama RQ-4 Global Hawk hazina payload ya mabomu na makombora.

Majeshi kuna attack drone kama Predator na TB2.

Suicide drone kama Shahed, Lancet, Switchblade.

Surveillance na spy kama Global Hawk

Na nyinginezo
 
On October 6, 1973, Egypt and Syria launched a coordinated surprise attack on Israeli forces in the Sinai and the Golan Heights. Israel ultimately repelled the attack and regained lost ground, but only after the United States made the decision to supply the Israeli military.

Arab-Israeli War 1973 - state.gov

Feedback
About featured snippets

People
Hao ndio wanajeshi 5000 wa Marekani walioenda vitani. Na ndio ndegevita 250?
 
Maswali ya kipumbavu kabisa haya,basi hapo mwenyewe unajiona unauliza maswali konki kinoma! Hayo maswali hata mtoto wa darasa la pili hawezi kuyauliza,
Huwezi jibu maswali ya watoto wa darasa la pili. Ina maana uwezo wako kiakili ni wa mtoto kikojozi kabisa chekechea.
Hivi unajua ni kwanini Hamas hua wanarekodi attacks zao wanapowapiga hao mabwana zako?
Enhe wamerekodi na hizi? Video na picha ziko wapi?
 
Back
Top Bottom