Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Nimesema wanacheza na supplies. Unadhani hao Hezbollah walinunua hizo pagers kwa Myahudi.
Hizo walinunua kwa Mwarabu mwenzao ambaye naye kanunua kwa supplier mkubwa maybe. Hata ukizifuata bidhaa North Korea lazima uite tender au utumie kampuni iagize. Kwenye hayo makampuni ya kuagiza ndio Israel inakuwa sasa. Kwani kuna Myahudi alikuwahi kanyaga ile nyumba aliyouwawa Haniyeh pale Tehran eneo la ulinzi mkali ila bomu likapandikizwa chumbani? Ni Waarabu haohao
Ungeangalia 24 season one wala usingebabaika na hilo,ni tech ya kizamani mno
 
Hizo pager hata zikiripuka hazina impact kubwa Israel kaishiwa 😄
Hizo za israel ni mbinu za mfa maji.Mpaka sasa wameshakufa watatu.Wengine wamejeruhiwa kiasi tu.
Kitakachofuata maadui wa Israel na watu kwa ujumla wataacha kutumia bidhaa za Israel na tangu hapo hiyo hatua imeshaanza.
Uchumi wa Israel utaendelea kushuka chini na watu hawatashindwa kutumia vifaa vyengine vya mawasilaiano kuendeleza mapambano.
 
Yaan Israel ni kituko sasa huyo ni hizbollah? Ni kama anacho fanya gaza anaua raia kwa percentage kubwa anaacha Hamas alafu anategemea vita iishe itaishaje kama wahusika bado wapo? Sasa kuhusu kuua watoto palestine nao wana himizana ndani ya miezi kumi wamezaliwa watoto mara mbili ya waliokufa yaani vita huku pia kuzaliana kunaendelea
Halafu wafuasi wake wanakaa na kumsifia.
Ndio uone kuwa Israel ni dhaifu.
Anacholenga yeye ni kuzusha hofu kwa raia wakinzane na Hizbollah.
Hapo atakayelaumiwa ni Hizbollah.
Wanataka kuwakata moto Hizbollah kwa ku install fear kwa raia.
Wajinga sana hawa.
 
Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!


Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine??

pager​


a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen




View attachment 3098853View attachment 3098855

Pagers explode across Lebanon, injuring dozens of people including Hezbollah members​



Dozens of members of the Lebanese militant group Hezbollah have been seriously wounded after pagers they use to communicate exploded, security officials say.


Tuesday 17 September 2024 15:42, UK


Kwenye hii vita inaonekana dhahiri shair ni jamii gani ina akili na jamii gani ina akili finyu
 
This was calculated move waliona step moja mbele
Screenshot_20240917-172012~2.png
 
Hata kabla ya hapo zilikuwepo. Marekani imetumia TDR-1 drone kwenye vita ya pili ya dunia early 1940s.

Sisi ngoja tulogane kwanza
Main articles: History of unmanned combat aerial vehicles, Drone warfare, and Civilian casualties from U.S. drone strikes
1972: Ryan Firebee with 2 Maverick missiles
One of the earliest explorations of the concept of the combat drone was by Lee de Forest, an early inventor of radio devices, and U. A. Sanabria, a TV engineer. They presented their idea in an article in a 1940 publication of Popular Mechanics.[7] The modern military drone as known today was the brainchild of John Stuart Foster Jr., a nuclear physicist Lawrence Radiation Laboratory).[8] In 1971, Foster was a model airplane hobbyist and had the idea this hobby could be applied to building weapons.[8] He drew up plans and by 1973 DARPA (Defense Advanced Research Projects Agency) built two prototypes called "Prairie" and "Calera". They were powered by a modified lawn-mower engine and could stay aloft for two hours while carrying a 28-pound (13 kg) load.[8]

In the 1973 Yom Kippur War, Israel used unarmed U.S. Ryan Firebee target drones to spur Egypt into firing its entire arsenal of anti-aircraft missiles.[9] This mission was accomplished with no injuries to Israeli pilots, who soon exploited the depleted Egyptian defences. In the late 1970s and 80s, Israel developed the Scout and the Pioneer, which represented a shift toward the lighter, glider-type model of UAV in use today. Israel pioneered the use of unmanned aerial vehicles (UAVs) for real-time surveillance, electronic warfare, and decoys.[10][11][12] The images and radar decoying provided by these UAVs helped Israel to completely neutralize the Syrian air defenses in Operation Mole Cricket 19 at the start of the 1982 Lebanon War, resulting in no pilots downed.[13]

In the late 1980s, Iran deployed a drone armed with six RPG-7 rounds in the Iran–Iraq War.[14]

Impressed by Israel's success, the US quickly acquired a number of UAVs, and its Hunter and Pioneer systems are direct derivatives of Israeli models. The first 'UAV war' was the first Persian Gulf War: according to a May 1991 Department of the Navy report: "At least one UAV was airborne at all times during Desert Storm." After the Persian Gulf War successfully demonstrated its utility, global militaries invested widely in the domestic development of combat UAVs.[15] The first "kill" by an American UAV was on October 7, 2001, in Kandahar.[16]

In recent years, the U.S. has increased its use of drone strikes against targets in Pakistan and elsewhere as part of the War on Terror. In January 2014, it was estimated that 2,400 people had died from U.S. drone strikes in five years.[17] In June 2015, the total death toll of U.S. drone strikes was estimated to exceed 6,000.[18]

In 2020, Turkey became the first country to use UCAVs in a large, coordinated attack on a conventional battlefield when they attacked forces in Syria. They were used to attack enemy positions, to provide cover for ground forces and to scout for artillery.[19] Drones were used extensively in the 2020 Nagorno-Karabakh war between Azerbaijan and Armenia.[20] Azerbaijan's use of cheaper Turkish TB2 drones was seen as crucial to their victory against the Armenian forces.[21] Drones were also used extensively during the 2022 Russian invasion of Ukraine.[22] Usage of drones offers
 
Lengo la Hezbollah kuifuta Israel. 2006 Israel ilifutwa? Kigezo gani cha kusema Israel ilishindwa?
MKuu usidanganye hufai kudanganya.
Lengo la kuifuta Israel itoke kuwa ya Iran ihame kuwa ya Hizbollah!?
Kuwa na aibu kaka.
2006 Hizbollah lengo lao ilikua kuikomboa Bint jubeir na kuwaokoa members wao wa Hizbollah waliokamatwa na Israel.

Israel iliondoka Bint juberi kwa KUPIGWA sio kwa kutaka.
Na wali pull back mbaka shebah farms.
Mwishowe ardhi Hizbollah waliikomboa na kipindi cha negotiation wakapewa members wao wakiwa wote wazima ilhali askari wao IDF wawili walikufa wakapewa wawili.
Hapo nani kashinda??
 
Tech ya kizamani na vilaza wa Hezbollah hawajui? Shida ni ilmu ya teknolojia hawana ama kitu gani.
Wewe Pimbi ndio hua unaharisha hovyo tu hapa wala huna la maana,hao mabwana zako leo mwaka mzima wanahangaika na kaeneo kadogo kama Kigamboni tu,pamoja na kusaidiwa na US na NATO ila bado wanatolewa kamasi mpaka leo,

Wakiishiwa silaha wanaanza kuwalilia US! Kwanini wasijitegemee wao wenyewe?
 
Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!


Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine??

pager​


a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen




View attachment 3098853View attachment 3098855

Pagers explode across Lebanon, injuring dozens of people including Hezbollah members​



Dozens of members of the Lebanese militant group Hezbollah have been seriously wounded after pagers they use to communicate exploded, security officials say.


Tuesday 17 September 2024 15:42, UK


Inaonekana Israel aliingilia deal ya kusply hizi pagers - then akazizalisha na kuweka small Bombs na kuziingiza Lebanon kama kawaida na akaweka software ambayo anaicontrol akiwa Israel na akatuma comand zijilipuwe zenyewe siku ya leo. Iliingilia mfumo wa manunuzi wa vipuri vya mitambo ya nyuklia ya Iran na kuweka special program ambayo kuna siku akalipuwa mitambo karibia yote ya kuzalisha raw material za kuzalisha nyuklia bombs huko Iran
 
Back
Top Bottom