Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Shambulizi la Israel madhara yake tumeyaonaView attachment 3098888

Shambulizi la kombora la Yemen limeua nyasi na vichaka.

Alafu uwezo wa Israel unauita "kusaidiwa na wanafiki". Kwanini nanyinyi msitafute wanafiki wawasaidie.
Wewe Pimbi,hao wayahudi wamewafukuza waandishi wa habari wote ili kuficha aibu ya vichapo wanavyopokea,

Unawasifu Wayahudi waliomsulubu Mungu wako?
 
nayaona maisilamic na makristo yanavoshadadia pande zao .za hezbolah na israel ................ama kwel yote n mipumbavu by mm atheist.......ni upumbavu mtupu.......vichwa maji nyie vita sio ya kushabikia.
Ulivyo FALA WA KUPINDUKIA unadhani watu wanashabikia dini hapa!?
Hakuna shabiki hapa bali kuna wajadili tu.
Na hizi vurugu hazihusishi dini kwasababu hiyo Hizbollah hadi wakristo wapo.
Na huko Israel hadi waislam wanaishi.
Punguwani waheed.
 
Israel huwa inacheza na supply ya vifaa vya maadui zake. Hata miaka ya 1980s ilimuua mkuu wa kundi la kigaidi kwa kubadilisha simu yake na kumpa yenye bomu. Kisha wakampigia simu, wakatuma drone juu ikanasa amepokea ikaruhusu mlipuko akafariki.

Israel pia ilimuua Wadie Haddad kwa sumu ya dawa ya mswaki, maana waliona wakimuua kawaida magaidi wa kundi lake la PFLP aliloongoza lililokuwa maarufu kwa kuteka ndege na kufanya mashambulizi wangelipa kisasi kwa mauaji. PFLP ndio waliteka ndege wakaileta Uganda kwa Iddi Amin.
Huyo walimpa dawa iliyotengenezwa na Taasisi ya Kibaiolojia ya Israeli, dawa ikamuua taratibu baada miezi miwili. Kwa maumivu makubwa, amekonda, amenyonyoka nywele.

Kwahiyo Israel inashiriki kuwa supplier wa bidhaa za adui, humo inaweka vitu fulani. Muda wowote ikihitajika inajua namna ya kuzitumia kwa maslahi yake.
Hatari sana hawa jamaa.
 
MKuu usidanganye hufai kudanganya.
Lengo la kuifuta Israel itoke kuwa ya Iran ihame kuwa ya Hizbollah!?
Kuwa na aibu kaka.
2006 Hizbollah lengo lao ilikua kuikomboa Bint jubeir na kuwaokoa members wao wa Hizbollah waliokamatwa na Israel.

Israel iliondoka Bint juberi kwa KUPIGWA sio kwa kutaka.
Na wali pull back mbaka shebah farms.
Mwishowe ardhi Hizbollah waliikomboa na kipindi cha negotiation wakapewa members wao wakiwa wote wazima ilhali askari wao IDF wawili walikufa wakapewa wawili.
Hapo nani kashinda??
Israel iliondoka Lebanon kwa maamuzi ya Waziri Mkuu wao aliyoyatoa kwenye ahadi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 1999 kama sikosei au mwaka karibu na huo. Pia UN Security Council Resolution 425 iliitaka Israel kuondoka Lebanon.

Israel iliingia Lebanon baada ya wendawazimu kuwa wanaishambulia kutoka kule. Haikufanya occupation kama Gollan heights za Syria. Na hata sasa, Israel inaweza weka majeshi yake hapo Lebanon baada ya hawa washamba wavaa beepers wakiendeleza mashambulizi.
 
Tayari tumejua sababu ya Israel kujifariji leo nilikua najiuliza sana asee lazima ashikwe na hasira ile mvua aliyoshusha hizbollah kambi ya Giliot imefagia 22 na 74 majeruhi na muda wowote kumi wanaeza ongezeka kashikwa na hasira kalipua device watu wanakunywa bia huo sio wanaume sasa ni ujinga wanakunywa bia hahahahah zayuni bana hizo news huwezi zipata popote
 
Israel iliondoka Lebanon kwa maamuzi ya Waziri Mkuu wao aliyoyatoa kwenye ahadi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 1999 kama sikosei au mwaka karibu na huo. Pia UN Security Council Resolution 425 iliitaka Israel kuondoka Lebanon.

Israel iliingia Lebanon baada ya wendawazimu kuwa wanaishambulia kutoka kule. Haikufanya occupation kama Gollan heights za Syria. Na hata sasa, Israel inaweza weka majeshi yake hapo Lebanon baada ya hawa washamba wavaa beepers wakiendeleza mashambulizi.
Usichanganye madesa mkuu.
Kuondoka kwa Israel mwaka 2000 kwa juhudi za UN haifanani na kuondoshwa kwa Israel 2006.

Mwaka huo huo 2006 kuna Hizbollah members wanne walikamatwa na Israel.
Hizbollah ilivamia mipaka ya North Israel na kuua askari nane na kukamata mateka wanne wa IDF.
Wakitaka Hizbollah members waachiwe.
Israel iligoma na kuanza mashambulizi ya anga baadae ikaingia Bint Jubeir kupitia shebah.
Waliweka Buffer zone hapo na hawakuwa na mpango wa kuondoka.
Hizbollah nayo ilipoanza kujibu mashambulizi iliwaondoa Israel na kuvunja buffer zone ya Israel hapo Bint jubeir na kuwasukuma hadi shebah,na hiyo shebah nusu iligawanywa.
Nusu waliiteka Hizbollah nusu ndio walikomea Israel.
Ndipo ikaja resolution ya kumaliza vita na kugawana mateka,Israel ilipata hasara ya mateka wawili kufariki kwa majeraha.

Usichanganye madesa mkuu.
Nazungumzia 2006.
 
nayaona maisilamic na makristo yanavoshadadia pande zao .za hezbolah na israel ................ama kwel yote n mipumbavu by mm atheist.......ni upumbavu mtupu.......vichwa maji nyie vita sio ya kushabikia.
Sasa wewe umefuata nini kwenye uzi usiokuhusu? Umeitwa au ni kimbelembele chako tu? Au umeona raha tu kujipitisha mbele ya Wanaume?
 
Wewe Pimbi,hao wayahudi wamewafukuza waandishi wa habari wote ili kuficha aibu ya vichapo wanavyopokea,

Unawasifu Wayahudi waliomsulubu Mungu wako?
Tuseme waandishi wa habari wamefukuzwa, je na raia wakafukuzwa?
Hujui Israel kuna Waislamu zaidi ya 1,000,000 na zaidi ya 17% ya raia ni Waarabu?

Hao wote hawana simu, ni maskini kama panya wa kanisani kwamba hawana CCTV cameras na smartphones?

Kipigo kinauma mnaanza kufokafoka
 
Israel iliondoka Lebanon kwa maamuzi ya Waziri Mkuu wao aliyoyatoa kwenye ahadi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 1999 kama sikosei au mwaka karibu na huo. Pia UN Security Council Resolution 425 iliitaka Israel kuondoka Lebanon.

Israel iliingia Lebanon baada ya wendawazimu kuwa wanaishambulia kutoka kule. Haikufanya occupation kama Gollan heights za Syria. Na hata sasa, Israel inaweza weka majeshi yake hapo Lebanon baada ya hawa washamba wavaa beepers wakiendeleza mashambulizi.
Askari wa kuwapeleka huko anawapata wapi.Mshike mshike ya kupata kuruta itachochea tatizo jengine la ndani.
 
Tuseme waandishi wa habari wamefukuzwa, je na raia wakafukuzwa?
Hujui Israel kuna Waislamu zaidi ya 1,000,000 na zaidi ya 17% ya raia ni Waarabu?

Hao wote hawana simu, ni maskini kama panya wa kanisani kwamba hawana CCTV cameras na smartphones?

Kipigo kinauma mnaanza kufokafoka
Wewe Mjane hivi unaelewa hata unachokiandika lakini? Unaishi shimoni? Hoa mabwana zako wamefukuza waandishi wa habari kuficha aibu,Missile ikitumwa,kinapiga king'ora wanakimbilia kwenye mashimo,sasa hizo Smartphone wapige picha humo kwenye mashimo?

Hivi hua una akili timamu kweli wewe?
 
Askari wa kuwapeleka huko anawapata wapi.Mshike mshike ya kupata kuruta itachochea tatizo jengine la ndani.
Sawa Israel hana askari, ishambulie basi.
Mwaka 1973 wakati Israel ilikuwa na raia milioni tatu pekee ilishambuliwa na Egypt, Syria na wengine. Ilikuwa outnumbered 10 to 1, sembuse leo Israel ina raia almost milioni 10 ishindwe na wanamgambo wa Hezbollah + Hamas + Yemen?

Anayeweza aivamie Israel waende full scale war si mnasema ni wanyonge.
 
Israel huwa inacheza na supply ya vifaa vya maadui zake. Hata miaka ya 1980s ilimuua mkuu wa kundi la kigaidi kwa kubadilisha simu yake na kumpa yenye bomu. Kisha wakampigia simu, wakatuma drone juu ikanasa amepokea ikaruhusu mlipuko akafariki.

Israel pia ilimuua Wadie Haddad kwa sumu ya dawa ya mswaki, maana waliona wakimuua kawaida magaidi wa kundi lake la PFLP aliloongoza lililokuwa maarufu kwa kuteka ndege na kufanya mashambulizi wangelipa kisasi kwa mauaji. PFLP ndio waliteka ndege wakaileta Uganda kwa Iddi Amin.
Huyo walimpa dawa iliyotengenezwa na Taasisi ya Kibaiolojia ya Israeli, dawa ikamuua taratibu baada miezi miwili. Kwa maumivu makubwa, amekonda, amenyonyoka nywele.

Kwahiyo Israel inashiriki kuwa supplier wa bidhaa za adui, humo inaweka vitu fulani. Muda wowote ikihitajika inajua namna ya kuzitumia kwa maslahi yake.
Ilikuwa 1980 na walitumia drone?
 
Sawa Israel hana askari, ishambulie basi.
Mwaka 1973 wakati Israel ilikuwa na raia milioni tatu pekee ilishambuliwa na Egypt, Syria na wengine. Ilikuwa outnumbered 10 to 1, sembuse leo Israel ina raia almost milioni 10 ishindwe na wanamgambo wa Hezbollah + Hamas + Yemen?

Anayeweza aivamie Israel waende full scale war si mnasema ni wanyonge.
Waliokuwa wanapigana wakati huo walikuwa ni UK, USA, France na mataifa rafiki na sio wayahudi
 
Wewe Mjane hivi unaelewa hata unachokiandika lakini? Unaishi shimoni? Hoa mabwana zako wamefukuza waandishi wa habari kuficha aibu,Missile ikitumwa,kinapiga king'ora wanakimbilia kwenye mashimo,sasa hizo Smartphone wapige picha humo kwenye mashimo?

Hivi hua una akili timamu kweli wewe?
Umejuaje missiles zimepiga kama wanaotakiwa kuwa na taarifa walijificha?

Kama huna picha na video, una ushahidi gani kuna madhara yalitokea?

Magaidi wenzio tunao ushahidi Wizara ya Afya imezidiwa uko kuwatibu watu maelfu na mamia. Vifo kibao na bado.
 
Mie katika video nimeona raia madukani ndio wamelipukiwa na hivyo vifaa.
Ila wao watakwambia ni Hizbollah,sasa wamejuaje kama Hizbollah??
Maana video zinaonesha watu super market ndio wanalipukiwa.

Israel bana😂😂😂😂😂😂😂😂😂 halafu mlipuko wenyewe kama wa gesi ikifurumia kwenye soda.
Hezbollah wanatumia pager kwa sababu simu ni rahisi kunasa mawasiliano,
 
Back
Top Bottom