The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Wewe Pimbi,hao wayahudi wamewafukuza waandishi wa habari wote ili kuficha aibu ya vichapo wanavyopokea,Shambulizi la Israel madhara yake tumeyaonaView attachment 3098888
Shambulizi la kombora la Yemen limeua nyasi na vichaka.
Alafu uwezo wa Israel unauita "kusaidiwa na wanafiki". Kwanini nanyinyi msitafute wanafiki wawasaidie.
Unawasifu Wayahudi waliomsulubu Mungu wako?