Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Kwan nyie mnashindwa nn kutafuta msaada kama mnaona mwenzenu anasaidiwa, si kuna Arab League??
Wanaume hawahitaji Arab League ni ya viongozi walio wekwa karibu 80% na US.

Israel kusaidiwa kote kule bado anapokea kichapo ba kichapo kiko pale pale mpaa akubali hana budi masharti ya Hamasi.
 
Hizo pager hata zikiripuka hazina impact kubwa Israel kaishiwa 😄
Hii kwamba hazina impact kubwa ni kujifariji tu. Israel hapa anamwonyesha adui yake kwamba anammudu na kama akiamua kumfuta anaweza kumfuta tu akilazimika. Kinachomwekea breki Israel asifanye kile alicho na uwezo nacho yaani kuwafuta adui zake ni sheria na kanuni za kimataifa tu. Mfano Israel angeweza kulipua mabomu mawili tu matatu na Gaza au Lebanoni kusini ingeyeyuka kwa sekunde lakini hawezi kufanya hivyo kwa sababu zinazoeleweka.
 
Zitayayuka 😄 nenda shule dogo
 
Nimesema wanacheza na supplies. Unadhani hao Hezbollah walinunua hizo pagers kwa Myahudi.
Hizo walinunua kwa Mwarabu mwenzao ambaye naye kanunua kwa supplier mkubwa maybe. Hata ukizifuata bidhaa North Korea lazima uite tender au utumie kampuni iagize. Kwenye hayo makampuni ya kuagiza ndio Israel inakuwa sasa. Kwani kuna Myahudi alikuwahi kanyaga ile nyumba aliyouwawa Haniyeh pale Tehran eneo la ulinzi mkali ila bomu likapandikizwa chumbani? Ni Waarabu haohao
Nilifikiri aliuwawa kwa drone huyu jamaa
 
Hili jambo ni gumu sana kupata upande wa kushabikia
Tatizo leo dunia nzima wameisha anza kuogopa kutumia hizo smart phone sababu ya ujinga wa Israel. Kuna nchi nyingi sana wataona kwa usalama wao warudishe mfumo wa zamani ni more safe kwao kuliko hizo technology.

Pili leo nani atawamini US. A Europe kuagiza vyombo vya mawasiliano vya kivita? Au ndege za vita.

Hi si akili kabisa mda utaongea kwanza kawapa fikra watu waovu kumbe PETN tunaweza itumia isigundulike afu analipua ndege huko juu.

Nchi nyingi hata kama hawasemi wa kwanza warabu wataona bora wafata technology za China, Turkey na Mrusi kuliko za hao Europe na US.
 
Nimesema wanacheza na supplies. Unadhani hao Hezbollah walinunua hizo pagers kwa Myahudi.
Hizo walinunua kwa Mwarabu mwenzao ambaye naye kanunua kwa supplier mkubwa maybe. Hata ukizifuata bidhaa North Korea lazima uite tender au utumie kampuni iagize. Kwenye hayo makampuni ya kuagiza ndio Israel inakuwa sasa. Kwani kuna Myahudi alikuwahi kanyaga ile nyumba aliyouwawa Haniyeh pale Tehran eneo la ulinzi mkali ila bomu likapandikizwa chumbani? Ni Waarabu haohao
Hapo kwenye kucheza na supplies za maadui zake, Israel wapo vizuri Sana ndio maana hata walipandikiza Stuxnet kwenye computer za mitambo ya nyuklia kule Iran
 
Tatizo leo dunia nzima wameisha anza kuogopa kutumia hizo smart phone sababu ya ujinga wa Israel. Kuna nchi nyingi sana wataona kwa usalama wao warudishe mfumo wa zamani ni more safe kwao kuliko hizo technology.

Pili leo nani atawamini US. A Europe kuagiza vyombo vya mawasiliano vya kivita? Au ndege za vita.

Hi si akili kabisa mda utaongea kwanza kawapa fikra watu waovu kumbe PETN tunaweza itumia isigundulike afu analipua ndege huko juu.

Nchi nyingi hata kama hawasemi wa kwanza warabu wataona bora wafata technology za China, Turkey na Mrusi kuliko za hao Europe na US.
Ndo kinachowabeba Israeli na missad yao ni ukaribu wao na CIA ya marekani ..hebu fikiria hawa Google wana hadi center ya data pale telvvi na ndo inayotumika kutrack watu ..na WhatsApp zo
 
Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!

Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine??

pager
a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen

View attachment 3098853View attachment 3098855

Pagers explode across Lebanon, injuring dozens of people including Hezbollah members​

Dozens of members of the Lebanese militant group Hezbollah have been seriously wounded after pagers they use to communicate exploded, security officials say.

Tuesday 17 September 2024 15:42, UK

hii sio kazi ya Myahudi peke yake, kuna watu pale ulaya wame mrahisishia hii kazi maana ina onekana vifaa vilitengenezwa ulaya hivi(Hungary)
 
Ndo kinachowabeba Israeli na missad yao ni ukaribu wao na CIA ya marekani ..hebu fikiria hawa Google wana hadi center ya data pale telvvi na ndo inayotumika kutrack watu ..na WhatsApp zo
Hivi vitu Israel peke yake hawezi huu ndio ukweli , kuna watu wako nyuma yake ila wakija kwenye media wanajifanya hawana taarifa
 
Kwahyo unataka kusema ni kina nani ndio wamefanya hilo tukio? Kama sio Israel
Hizo pagers zimezalishwa Hungary pale ulaya, kwahiyo suala la Israel kuzilipua ni jambo la kawaida, lakini zile zilizokuwa zinatoka TAIWAN huwezi sikia huo upuuzi
 
Back
Top Bottom