Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Inatokea mtu unaenda kistaarabu unamwambia mzee. Nigee changu nikafie mbele. Mnasumbuana sumbuana kwa shingo upande unachukua unalala mbele.
Sababu mzee alikuwa mzembe hakukufundisha namna ya kutunza na kuzalisha mali. Unapotezea kwa mademu . Unawalamba kinyama aisee...kula sana michembe na vibambala.
Pesa bahati mbaya inakata. Ila unakuwa umejifunza kitu. Unarudi home kupiga make up test. Unakuta mzee bado anazo unamwambia mzee nipatie sehemu ya mali nikawagawie maskini. Eti mzee anazingua.wakati mali unaiona bado ye anayo. Ukikaza kidogo na kumtikisa. Anadai umempiga umemjeruhi sana.
Kumbe wala. Ni kishkaji tu pasipo hata madhara makubwa. Anaishia kukukana. Huwezi ikana damu yako bwana. Na haya mambo mnayataka wenyewe sometimes. Mtu mpaka unatoa tangazo kama mtoto kaua anatafutwa na popies. Huo ukale achaneni nao. Mpatie mtoto sehemu ya mali ale maisha..