Hapa mzee amezingua kinyama. Aambiwe tu asifanye issue kuwa ya jamhuri wakati ni family matters

Inatokea mtu unaenda kistaarabu unamwambia mzee. Nigee changu nikafie mbele. Mnasumbuana sumbuana kwa shingo upande unachukua unalala mbele.

Sababu mzee alikuwa mzembe hakukufundisha namna ya kutunza na kuzalisha mali. Unapotezea kwa mademu . Unawalamba kinyama aisee...kula sana michembe na vibambala.

Pesa bahati mbaya inakata. Ila unakuwa umejifunza kitu. Unarudi home kupiga make up test. Unakuta mzee bado anazo unamwambia mzee nipatie sehemu ya mali nikawagawie maskini. Eti mzee anazingua.wakati mali unaiona bado ye anayo. Ukikaza kidogo na kumtikisa. Anadai umempiga umemjeruhi sana.

Kumbe wala. Ni kishkaji tu pasipo hata madhara makubwa. Anaishia kukukana. Huwezi ikana damu yako bwana. Na haya mambo mnayataka wenyewe sometimes. Mtu mpaka unatoa tangazo kama mtoto kaua anatafutwa na popies. Huo ukale achaneni nao. Mpatie mtoto sehemu ya mali ale maisha..

View attachment 2401796
Hata kama unaongelea kuhusu kakipande hako ka gazeti, lakini acheni kumotivate upumbaf buana!

Mali za mzazi haziwezi kurithiwa na mwanaye wakati yeye akiwa hai, ni zake na mkewe.

Tena kwa sababu kashituka mapema, awatumie wana sheria wake vizuri aandike wosia uliokamilika bila kuacha mashaka kama ule wa tajiri Mengi wa kurisisha watoto sh.elfu 1!

Auandae afunge mkataba kabisa, ili hata kama akidanja jamaa alie kihalali: kwa kufiwa na baba na kupoteza matumaini ya kupata chochote pumbaf zake.

Watoto "kabila" hiyo sisi tunawajua, kuliko ulivyompima wewe na kuhitimisha, ni mashetwan wenye mikia.

Mpaka mzazi kufikia hatua hiyo ya kukataa manii za kiuno chake,ujue pamepitika mambo mengi, tena mazito, usiangalie mambo kirahisi rahisi.
 
Tatizo ni hili mzee kessy hakuwa na maelewano na huyo kijana wake toka hapo nyuma...inasemekana huyo kijana alikuwa haelewani na mama yake mdogo ( wa kambo ) na hapo nyuma aliwahi kutaka kumzaba vibao mama yake wa kambo
Hapo hapo ndo shida.....
 
Tatizo ni hili mzee kessy hakuwa na maelewano na huyo kijana wake toka hapo nyuma...inasemekana huyo kijana alikuwa haelewani na mama yake mdogo ( wa kambo ) na hapo nyuma aliwahi kutaka kumzaba vibao mama yake wa kambo
Labda siyo vibao tu pia huenda alimuomba mama wa kambo. Ingekuwa kutaka kuzaba vibao tu mshua angemsamehe. Hasira zote hizi ni dogo kumuomba stepmom
 
Tatizo ni hili mzee kessy hakuwa na maelewano na huyo kijana wake toka hapo nyuma...inasemekana huyo kijana alikuwa haelewani na mama yake mdogo ( wa kambo ) na hapo nyuma aliwahi kutaka kumzaba vibao mama yake wa kambo
Ni utovu mkubwa sana wa adabu kutomuheshimu mke halali wa baba.Pale ni liwazo,pumbazo,furaha,egemeo la baba.Kwa nini umchukize?Ni kutafuta ugomvi na baba tu.
 
Kwani nlishiriki kuzaliwa? Mbwa wewe na wazazi wako. Binadamu anapozaliwa ana haki ya kurithi kutoka kwa aliyemleta duniani.
Sio lazima. Acha uvivu. Wale watoto wanaokua bila wazazi wanarithi wapi. Unategemea kupata mali kwa akili ya mtu mwingine unayemuita babako. Anaweza asiwe huyo unayedhani ni babako.
Tafuta mali zako. Za umdhaniaye babako ziwe msaada tu.
Au utasubiri mpaka ufikishe miaka 72 kama King Charles.
 
Tatizo ni hili mzee kessy hakuwa na maelewano na huyo kijana wake toka hapo nyuma...inasemekana huyo kijana alikuwa haelewani na mama yake mdogo ( wa kambo ) na hapo nyuma aliwahi kutaka kumzaba vibao mama yake wa kambo
Ehe

Ova
 
Urithi ni haki ya mtoto.

Wazazi wanapaswa kuhakikisha kiumbe walichoshiriki kukileta duniani kinaishi maisha mazuri, kwasababu haikua hiyari yake kuja duniani bali nyie kwa namna moja ama nyingine mkakileta.

Mambo za kumzila mtoto wakati hayo matabia yake ni wewe umeyalea. Kwahiyo anataka hiyo mtoto awe jambazi, aisumbue jamii wakati watu walioshiriki kumleta wapo ila eti wamemzila kisa anazingua na mlimlea nyie wenyewe.

Kama hamuwezi kulea na hamna mali basi msizae kuja kutesa viumbe.
 
Hapo hapo n
Tatizo watoto sahv asilimia kubwa wanasikilizia Mali za wazee wao
Kupambana wao wenyewe hawawezi

Ova
Siyo kweli. Zamani ndo ilikuwa zaidi. Au hujasoma?
 
Urithi ni haki ya mtoto.

Wazazi wanapaswa kuhakikisha kiumbe walichoshiriki kukileta duniani kinaishi maisha mazuri, kwasababu haikua hiyari yake kuja duniani bali nyie kwa namna moja ama nyingine mkakileta.

Mambo za kumzila mtoto wakati hayo matabia yake ni wewe umeyalea. Kwahiyo anataka hiyo mtoto awe jambazi, aisumbue jamii wakati watu walioshiriki kumleta wapo ila eti wamemzila kisa anazingua na mlimlea nyie wenyewe.

Kama hamuwezi kulea na hamna mali basi msizae kuja kutesa viumbe.
Upo sahihi kabisa.
 
Wewe upo smart sana. Wengi hawana uelewa huu.
 
Hakika watoto wa sikuhizi tunakunya kuondoa uchafu tumboni
 
Inatokea mtu unaenda kistaarabu unamwambia mzee. Nigee changu nikafie mbele. Mnasumbuana sumbuana kwa shingo upande unachukua unalala mbele.

Sababu mzee alikuwa mzembe hakukufundisha namna ya kutunza na kuzalisha mali. Unapotezea kwa mademu . Unawalamba kinyama aisee...kula sana michembe na vibambala.

Pesa bahati mbaya inakata. Ila unakuwa umejifunza kitu. Unarudi home kupiga make up test. Unakuta mzee bado anazo unamwambia mzee nipatie sehemu ya mali nikawagawie maskini. Eti mzee anazingua.wakati mali unaiona bado ye anayo. Ukikaza kidogo na kumtikisa. Anadai umempiga umemjeruhi sana.

Kumbe wala. Ni kishkaji tu pasipo hata madhara makubwa. Anaishia kukukana. Huwezi ikana damu yako bwana. Na haya mambo mnayataka wenyewe sometimes. Mtu mpaka unatoa tangazo kama mtoto kaua anatafutwa na popies. Huo ukale achaneni nao. Mpatie mtoto sehemu ya mali ale maisha..

View attachment 2401796
Mnyakyusa kachukia aisee
 
Back
Top Bottom