Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ndo ivo ni kukomaa mwanao aishi vizuri wakati huohuo unakomaa kuuandaa uzee wako(kama utafika uzee) ili usije tena kumlaumu na kusema unamlaani kisa hakuhudumii.Wewe upo smart sana. Wengi hawana uelewa huu.