Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hawa wanao tegemea urithi ni wajinga sana sisi wengine wazazi wetu walituandaa kabisa kisaikolojia kutafuta vyetu hata km wazee wataacha zao iwe km nyongeza tuR.I.P BABA
HAUKUTUACHIA CHOCHOTE ZAIDI YA KAULI DHABITI,,NA TUNAISHI NAZO MPAKA LEO
Hata kama unaongelea kuhusu kakipande hako ka gazeti, lakini acheni kumotivate upumbaf buana!Inatokea mtu unaenda kistaarabu unamwambia mzee. Nigee changu nikafie mbele. Mnasumbuana sumbuana kwa shingo upande unachukua unalala mbele.
Sababu mzee alikuwa mzembe hakukufundisha namna ya kutunza na kuzalisha mali. Unapotezea kwa mademu . Unawalamba kinyama aisee...kula sana michembe na vibambala.
Pesa bahati mbaya inakata. Ila unakuwa umejifunza kitu. Unarudi home kupiga make up test. Unakuta mzee bado anazo unamwambia mzee nipatie sehemu ya mali nikawagawie maskini. Eti mzee anazingua.wakati mali unaiona bado ye anayo. Ukikaza kidogo na kumtikisa. Anadai umempiga umemjeruhi sana.
Kumbe wala. Ni kishkaji tu pasipo hata madhara makubwa. Anaishia kukukana. Huwezi ikana damu yako bwana. Na haya mambo mnayataka wenyewe sometimes. Mtu mpaka unatoa tangazo kama mtoto kaua anatafutwa na popies. Huo ukale achaneni nao. Mpatie mtoto sehemu ya mali ale maisha..
View attachment 2401796
Hapo hapo ndo shida.....Tatizo ni hili mzee kessy hakuwa na maelewano na huyo kijana wake toka hapo nyuma...inasemekana huyo kijana alikuwa haelewani na mama yake mdogo ( wa kambo ) na hapo nyuma aliwahi kutaka kumzaba vibao mama yake wa kambo
Labda siyo vibao tu pia huenda alimuomba mama wa kambo. Ingekuwa kutaka kuzaba vibao tu mshua angemsamehe. Hasira zote hizi ni dogo kumuomba stepmomTatizo ni hili mzee kessy hakuwa na maelewano na huyo kijana wake toka hapo nyuma...inasemekana huyo kijana alikuwa haelewani na mama yake mdogo ( wa kambo ) na hapo nyuma aliwahi kutaka kumzaba vibao mama yake wa kambo
Ni utovu mkubwa sana wa adabu kutomuheshimu mke halali wa baba.Pale ni liwazo,pumbazo,furaha,egemeo la baba.Kwa nini umchukize?Ni kutafuta ugomvi na baba tu.Tatizo ni hili mzee kessy hakuwa na maelewano na huyo kijana wake toka hapo nyuma...inasemekana huyo kijana alikuwa haelewani na mama yake mdogo ( wa kambo ) na hapo nyuma aliwahi kutaka kumzaba vibao mama yake wa kambo
Sio lazima. Acha uvivu. Wale watoto wanaokua bila wazazi wanarithi wapi. Unategemea kupata mali kwa akili ya mtu mwingine unayemuita babako. Anaweza asiwe huyo unayedhani ni babako.Kwani nlishiriki kuzaliwa? Mbwa wewe na wazazi wako. Binadamu anapozaliwa ana haki ya kurithi kutoka kwa aliyemleta duniani.
Tatizo watoto sahv asilimia kubwa wanasikilizia Mali za wazee waoTafuta vyako uvipambanie...
EheTatizo ni hili mzee kessy hakuwa na maelewano na huyo kijana wake toka hapo nyuma...inasemekana huyo kijana alikuwa haelewani na mama yake mdogo ( wa kambo ) na hapo nyuma aliwahi kutaka kumzaba vibao mama yake wa kambo
Huenda kamla kabisaa mzee akastukia issueLabda siyo vibao tu pia huenda alimuomba mama wa kambo. Ingekuwa kutaka kuzaba vibao tu mshua angemsamehe. Hasira zote hizi ni dogo kumuomba stepmom
Hapo hapo nTatizo ni hili mzee kessy hakuwa na maelewano na huyo kijana wake toka hapo nyuma...inasemekana huyo kijana alikuwa haelewani na mama yake mdogo ( wa kambo ) na hapo nyuma aliwahi kutaka kumzaba vibao mama yake wa kambo
Siyo kweli. Zamani ndo ilikuwa zaidi. Au hujasoma?Tatizo watoto sahv asilimia kubwa wanasikilizia Mali za wazee wao
Kupambana wao wenyewe hawawezi
Ova
Upo sahihi kabisa.Urithi ni haki ya mtoto.
Wazazi wanapaswa kuhakikisha kiumbe walichoshiriki kukileta duniani kinaishi maisha mazuri, kwasababu haikua hiyari yake kuja duniani bali nyie kwa namna moja ama nyingine mkakileta.
Mambo za kumzila mtoto wakati hayo matabia yake ni wewe umeyalea. Kwahiyo anataka hiyo mtoto awe jambazi, aisumbue jamii wakati watu walioshiriki kumleta wapo ila eti wamemzila kisa anazingua na mlimlea nyie wenyewe.
Kama hamuwezi kulea na hamna mali basi msizae kuja kutesa viumbe.
Wewe upo smart sana. Wengi hawana uelewa huu.Urithi ni haki ya mtoto.
Wazazi wanapaswa kuhakikisha kiumbe walichoshiriki kukileta duniani kinaishi maisha mazuri, kwasababu haikua hiyari yake kuja duniani bali nyie kwa namna moja ama nyingine mkakileta.
Mambo za kumzila mtoto wakati hayo matabia yake ni wewe umeyalea. Kwahiyo anataka hiyo mtoto awe jambazi, aisumbue jamii wakati watu walioshiriki kumleta wapo ila eti wamemzila kisa anazingua na mlimlea nyie wenyewe.
Kama hamuwezi kulea na hamna mali basi msizae kuja kutesa viumbe.
Sasa msiforce,akulee kwa shida umekua bado ateseke nawe wakati ndo wakati nae wa kupumzika mweeWewe upo smart sana. Wengi hawana uelewa huu.
Mnyakyusa kachukia aiseeInatokea mtu unaenda kistaarabu unamwambia mzee. Nigee changu nikafie mbele. Mnasumbuana sumbuana kwa shingo upande unachukua unalala mbele.