Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
una mstari kwenye bible Yesu alienda kuvua samaki, naamini unamaanisha kama Yesu alikula basi na wakristo kula poa tuHivi samaki ni Halal kuliwa kwake au si halal? Maana huwa naona wanajifia wenyewe tu.
Hawachinjwi. Na vitabu vinataka tule mnyama aliye chinjwa sasa hapo wadau inakuaje?
Maana mimi huwa nasita sana. Naona tunakula kibudu.
Kwa hiyo Nguruwe havutii??Kama muislam tumehalalishiwa kula kilicho halali na kizuri pia chenye kuvutia
Wakat huo huo waislam tumeruhusiwa kula maiti mbili samaki na nzige hawa ukikuta wamekufa maadam hawajaoza wewe wapeleke
Kama sio MUISLAM unisamehe MKUU
Inategemea na mrengo uliopo MKUU kama upo mrengo wa KUSHOTO anavutiaKwa hiyo Nguruwe havutii??
Mambo ya imani magumu sanaMaji ya Bahari au ziwa ni twahara na maiti yake ni halali kabisa. Hivyo samaki ni halali kuliwa pamoja na kujifia mwenyewe.
Oooooh.... Nipatie na mstari sheikh ili niwe na amani kabisa....maana...huwa naona kama nakosea sana.Kama muislam tumehalalishiwa kula kilicho halali na kizuri pia chenye kuvutia
Wakat huo huo waislam tumeruhusiwa kula maiti mbili samaki na nzige hawa ukikuta wamekufa maadam hawajaoza wewe wapeleke
Kama sio MUISLAM unisamehe MKUU
Hapo kwenye kuvutia au kuwa kizuri ni neno pana sheikh. Maana nina swahiba wangu anahalalisha hata ulaji wa Nyama ya Nguruwe huwa simwelewi kabisa. Na ya Ngamia anakula. Mimi zote mbili nashindwa.Kama muislam tumehalalishiwa kula kilicho halali na kizuri pia chenye kuvutia
Wakat huo huo waislam tumeruhusiwa kula maiti mbili samaki na nzige hawa ukikuta wamekufa maadam hawajaoza wewe wapeleke
Kama sio MUISLAM unisamehe MKUU
Unamaanisha Tohara?Maji ya Bahari au ziwa ni twahara na maiti yake ni halali kabisa. Hivyo samaki ni halali kuliwa pamoja na kujifia mwenyewe.
Kumbikumbi je? Senene kwa nini?Mkuu samaki na senene ni ruksa kuliwa wakijifia.
Mkuu kwa sisi Waislam hakuna shida kula samaki hata kama wamejifia wenyewe.Hivi samaki ni Halal kuliwa kwake au si halal? Maana huwa naona wanajifia wenyewe tu.
Hawachinjwi. Na vitabu vinataka tule mnyama aliye chinjwa sasa hapo wadau inakuaje?
Maana mimi huwa nasita sana. Naona tunakula kibudu.
Na ukigeuka upande mwingine kushoto inakuwa kulia na kulia inakuwa kushotoInategemea na mrengo uliopo MKUU kama upo mrengo wa KUSHOTO anavutia
Kama upo mrengo wa KULIA basi mdudu KHARAM
Sent using Jamii Forums mobile app
Najisi yule havutii chochote!Kwa hiyo Nguruwe havutii??
Kama kuvutia tu,paka anavutia sanaKama muislam tumehalalishiwa kula kilicho halali na kizuri pia chenye kuvutia
Wakat huo huo waislam tumeruhusiwa kula maiti mbili samaki na nzige hawa ukikuta wamekufa maadam hawajaoza wewe wapeleke
Kama sio MUISLAM unisamehe MKUU