Hapa nachanganyikiwa Sana. Sielewi kwa kweli

Hapa nachanganyikiwa Sana. Sielewi kwa kweli

Hapo kwenye kuvutia au kuwa kizuri ni neno pana sheikh. Maana nina swahiba wangu anahalalisha hata ulaji wa Nyama ya Nguruwe huwa simwelewi kabisa. Na ya Ngamia anakula. Mimi zote mbili nashindwa.
Isome tena reply yang utaielewa

Kinachoangaliwa chakwanza uhalali halaf uzuri na vyengne vinafuatia

Kwahio swahiba wako kula nguruwe hakumfanyi nguruwe kuwa halali hatakama anavutia kwake kwasababu tayar kashaharamishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi samaki ni Halal kuliwa kwake au si halal? Maana huwa naona wanajifia wenyewe tu.

Hawachinjwi. Na vitabu vinataka tule mnyama aliye chinjwa sasa hapo wadau inakuaje?

Maana mimi huwa nasita sana. Naona tunakula kibudu.
Tunakoelekea ttutaomba hadi mahindi yawe yanachinjwa kabla ya kupikwa na kuliwa.
 
Hapo kwenye kuvutia au kuwa kizuri ni neno pana sheikh. Maana nina swahiba wangu anahalalisha hata ulaji wa Nyama ya Nguruwe huwa simwelewi kabisa. Na ya Ngamia anakula. Mimi zote mbili nashindwa.
Isome tena reply yang utaielewa

Kinachoangaliwa chakwanza uhalali halaf uzuri na vyengne vinafuatia

Kwahio swahiba wako kula nguruwe hakumfanyi nguruwe kuwa halali hatakama anavutia kwake kwasababu tayar kashaharamishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula kila nyama na kila mnyama anayepatikana hapa Duniani kasoro nyama ya mwanafamu mwenzio tu.Achana na hizo propaganda za biblia na Quran
Kwa nini asile nyama ya binadamu mwenzie?..unafata propaganda za nani!?..walaji wa nyama ya binadamu wanasema tamu Sana,hasa vidole vya mikono ukilia ndizi,mwache ale ya binadamu maadhali Hana miiko!!
 
Vipi kuhusu "maiti" ya senene??
Kama muislam tumehalalishiwa kula kilicho halali na kizuri pia chenye kuvutia

Wakat huo huo waislam tumeruhusiwa kula maiti mbili samaki na nzige hawa ukikuta wamekufa maadam hawajaoza wewe wapeleke

Kama sio MUISLAM unisamehe MKUU
 
Maji ya Bahari au ziwa ni twahara na maiti yake ni halali kabisa. Hivyo samaki ni halali kuliwa pamoja na kujifia mwenyewe.

Twahara ina maana gani?
Maana yake yana uwezo wa kuondosha uchafu au najisi.
Kwa hiyo kitimoto akifia baharini si anakua ameondolewa najisi?
 
Wakorintho 6:12

12Mambo yote ni halali kwangu, lakini si mambo yote yenye faida. Mambo yote ni halali kwangu, lakini sitaruhusu kitu chochote kinitawale.
Hapa kaongelea mbususu ndio maana kafa na utamu wake
 
Ngoja tuwaulize wachina maana ndo wanapenda kweli kuchaguachagua nyama
 
Back
Top Bottom