Hapa nachanganyikiwa Sana. Sielewi kwa kweli

Hapa nachanganyikiwa Sana. Sielewi kwa kweli

Kama muislam tumehalalishiwa kula kilicho halali na kizuri pia chenye kuvutia

Wakat huo huo waislam tumeruhusiwa kula maiti mbili samaki na nzige hawa ukikuta wamekufa maadam hawajaoza wewe wapeleke

Kama sio MUISLAM unisamehe MKUU
Dagaa? Au nao ndio samaki tu!?
Kumbikumbi? Au nao ndio nzige tu?!
 
Back
Top Bottom