Hapa nani kaandika broken Kati ya Madam na CR?

Hapa nani kaandika broken Kati ya Madam na CR?

Education is better than money..

If your are money but not your head education yoo can not control your money and money you lost.
Becouse your helper do thief you money and your cant count money

Thank you time keeper and chairperson
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ niache bhana SITAKIIIIIIIIII πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
LECTURER: HABARI YA ASUBUHI CR, UNGEWEZA KUNIPATIA NAMBARI ZA MAKUNDI YA WANAFUNZI ILI NIWEZE KUWAPANGIA KAZI ZA MAKUNDI.

CR: SAWA MADAMU,,,KUNA WATU BADO SIJAMALIZA KUWAWEKA KWENYE MAKUNDI, TAHADHARI NIPE MUDA LEO NIWAWEKE KWENYE MAKUNDI HALAFU NITAYATUMA KWAKO MADAMU.
 
Uko sahihi na hii ndio tafsiri yake.
Asiyeelewa kilichoongelewa pale ndio ana matatizo kwa kutaka kila mtu aongee maneno aliyoyakariri yeye
 
Alitakiwa aseme hivi:

"Send me students' contacts or send me the list of class groups."

Na yeye ajibu hivi:

"We haven't yet arranged the groups, kindly give us sometime and i will provide the list."

Hebu wakwende huko na vingereza vyao vya UKWAJU wanatusumbua tu.

PLEASE MADAM, PLEASE MADAM. Hizo madam zimekuwa nyingi kuliko kizungu.
SASA ULIPATAJE DIVISHENI FOO.
 
Hapo ni lugha gongana.

Mwenzake anaomba namba za simu, mwingine anataka kupanga magroup.

Yes Madam, THANK YOU MAJORITY, THANK YOU TIME KEEPER

Cc: Mbaga Jr Poor Brain Kalpana
Hapa hakuomba number za simu!. Aliomba idadi ya makundi yaliyoopo ili ayutumie kwenye hiyo assignment kama alivyosema.

Sasa CR kwasabab alikua baadhi ya wanafunzi hawakuwapanga kwenye makundi, akaomba muda awapange kwenye makundi Kisha amtumie idadi kamili iliyopo.

Note: "I'm confident that I'm correct, but not entirely certain, so correct me if I am wrong"
 
Hapo ni lugha gongana.

Mwenzake anaomba namba za simu, mwingine anataka kupanga magroup.

Yes Madam, THANK YOU MAJORITY, THANK YOU TIME KEEPER

Cc: Mbaga Jr Poor Brain Kalpana
Una uhakika wewe ndio umeelewa ? Binafsi naamini ni vema ukijua haujaelewa (ambiguity) kuliko kudhani umeelewa hivyo kulifanyia kazi jambo na kupoteza muda wakati huenda ungeuliza for clarification ungeokoa muda wako na wake...

In that token.., sababu hawa wote wanafanya kazi pamoja na huwa wanapeana hizo namba itakuwa ameelewa kinachotakiwa be it gramatically inaweza isiwe to the Shakespearean's standard...
 
Hao ndio wale wasomi wenye tabia ya kusema ball position badala ya ball possession, oksaid badala ya offside, real magrid badala ya real Madrid, sei toto badala ya fei toto, manogamech badala ya man if the match, neksi badala ya next halafu mnawatetea.

Nyambafu.
 
Hapo ni lugha gongana.

Mwenzake anaomba namba za simu, mwingine anataka kupanga magroup.

Yes Madam, THANK YOU MAJORITY, THANK YOU TIME KEEPER

Cc: Mbaga Jr Poor Brain Kalpana
Sidhani kama kuna anayeomba namba za simu. Wote wameelewana sema CR ndo kiingereza kina shida kidogo. Ila la msingi wameelewana first year aache mbwembwe
 
Back
Top Bottom