Hapa napendwa kweli?

Hapa napendwa kweli?

Ukitaka mapenzi yadumu, jishushe na kujionesha unajali.
Lakini kila mmoja akijiona hababaishwi na mwenzake, penzi hilo lazima life kifo cha kawaida.
Mkilivunja penzi kipumbaf, huwakuna madhara kisaikolojia kwenda kuanzisha penzi jipya.
Utaenda kufanywa mtumwa wa mapenzi ili kumuonesha 'dear x' wako kuwa umemove on na upo imara kimahusiano, ndipoyalipo madhara menyewe na huo ndiyo utumwa.
Nifanyaje sasa bro, demu mpaka nimsemeshe inaenda wiki hautumi message na mimi nimeamua situmi nione mwisho wake ni nini? Naamini kama ananipenda lazima angenisemesha
 
Nifanyaje sasa bro, demu mpaka nimsemeshe inaenda wiki hautumi message na mimi nimeamua situmi nione mwisho wake ni nini? Naamini kama ananipenda lazima angenisemesha
Nd'onimeshasema mmoja wenu lazima ajishushe na kubembeleza nwingine.

Lakini ukiona umejishusha na harudi katika hali ya mwanzo, elewa kuna shida kwenye mahusiano hayo.

Uamuzi uliopanga kuufanya kama ulivyoandika kwenye thread ndiyo sahihi zaidi.
 
Kujishusha nimejishusha sanaa pamoja na kugombana kwetu asilimia kubwa yeye alisababisha ila mimi ndio nimechukua jikumu la kuomba msamaha lakini wapi habadiliki, basi Sawa bro mimi namtema na ikiwezekana nafuta na namba
 
Habari,
Kuna mdada nilikua nae kwenye mahusiano ni kama kwa miezi tisa ikatokea tumegombana tukakaliana kimya kwa one month baada ya hapo nikaona turudiane ila amekua tafauti hataki kuanza kunisemesha hata "hi" tu, yani mpaka mimi nianze kumsemesha,

Wadau niambieni hapa napendwa kweli au ananipenda ila hataki kuonekana "low class", akiendelea hivi natafuta mwingine yeye nitamueka pending siku nikimhitaji namcheki,

Ni raha sana kuona mpenzi wako anakusemesha sio wewe kila siku unamsemesha yeye kauchuna
Heri ungebaki na ephen_ tu
 
Back
Top Bottom