Hapa napendwa kweli?

Hapa napendwa kweli?

Habari,
Kuna mdada nilikua nae kwenye mahusiano ni kama kwa miezi tisa ikatokea tumegombana tukakaliana kimya kwa one month baada ya hapo nikaona turudiane ila amekua tafauti hataki kuanza kunisemesha hata "hi" tu, yani mpaka mimi nianze kumsemesha,

Wadau niambieni hapa napendwa kweli au ananipenda ila hataki kuonekana "low class", akiendelea hivi natafuta mwingine yeye nitamueka pending siku nikimhitaji namcheki,

Ni raha sana kuona mpenzi wako anakusemesha sio wewe kila siku unamsemesha yeye kauchuna
Mbona mna complicate maisha. Huyo hana interest wee saka mbususu nyingine. Vipi hukuwa na back up?
Usijidanganye kuwa na mwanamke mmoja tuu
 
Hapana nahitaji ushauri nijue pengine mimi ndie mwenye makosa

Ndio maana nikasema bado hujadhamiria,

wewe ndio upo kwenye hayo mahusiano kwa hiyo unayajua vyema. Kama kuna kisana huitaji kuambiwa ni kibaya. Kiufupi bado hujachoka na unamuhitaji ndio maana unatamani watu wakuambie yupo sawa umvumilie
 
Sawa nitahakikisha hilo, nipe na mbinu za kuishi na wanawake je nionyeshe upendo sana au niwe bad boymkatili?
Wee wanawake chukulia kama chombo cha starehe tuu mwanawane anytime unamtupa huko ukishamtumia.
Wee usionee hutuma mwanamke maana wao wakishatumia hela zetu na kuzimaliza wanatubwaga.
Dunia ya sasa mwanamke na mwanahme ni kutumiana tuu na kuliana timing
 
Habari,
Kuna mdada nilikua nae kwenye mahusiano ni kama kwa miezi tisa ikatokea tumegombana tukakaliana kimya kwa one month baada ya hapo nikaona turudiane ila amekua tafauti hataki kuanza kunisemesha hata "hi" tu, yani mpaka mimi nianze kumsemesha,

Wadau niambieni hapa napendwa kweli au ananipenda ila hataki kuonekana "low class", akiendelea hivi natafuta mwingine yeye nitamueka pending siku nikimhitaji namcheki,

Ni raha sana kuona mpenzi wako anakusemesha sio wewe kila siku unamsemesha yeye kauchuna
yaani hauamini kuwa hakupendi, au 😛
 
Wee wanawake chukulia kama chombo cha starehe tuu mwanawane anytime unamtupa huko ukishamtumia.
Wee usionee hutuma mwanamke maana wao wakishatumia hela zetu na kuzimaliza wanatubwaga.
Dunia ya sasa mwanamke na mwanahme ni kutumiana tuu na kuliana timing
Basi nitakua natafuta demu nikikaa nae kama 4 months namtema, Asante bro nitalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom