Hapa napendwa kweli?

Nifanyaje sasa bro, demu mpaka nimsemeshe inaenda wiki hautumi message na mimi nimeamua situmi nione mwisho wake ni nini? Naamini kama ananipenda lazima angenisemesha
 
Nd'onimeshasema mmoja wenu lazima ajishushe na kubembeleza nwingine.

Lakini ukiona umejishusha na harudi katika hali ya mwanzo, elewa kuna shida kwenye mahusiano hayo.

Uamuzi uliopanga kuufanya kama ulivyoandika kwenye thread ndiyo sahihi zaidi.
 
Kujishusha nimejishusha sanaa pamoja na kugombana kwetu asilimia kubwa yeye alisababisha ila mimi ndio nimechukua jikumu la kuomba msamaha lakini wapi habadiliki, basi Sawa bro mimi namtema na ikiwezekana nafuta na namba
 
Heri ungebaki na ephen_ tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…