OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mpe hela nyingi, kama huna basi angalau ndogo-ndogo lakini jitahidi kumchakata kama compensation ya helaNipe mbinu za kumfanya mwanamke achanganyikiwe kwako
Usimuache ngoja mpaka ujinyee udhalilike....Niachane nae?
Hela ninazo kiasi, alafu mbona wapo hawana hela na wanaliliwa?Tatizo lako hela huna.
Matusi bro, nataka ushauriUsimuache ngoja mpaka ujinyee udhalilike....
Kama kumkaza nakazia nisawasawa, hela nampa ila mbona wapo wanaliliwa na hela hawanaMpe hela nyingi, kama huna basi angalau ndogo-ndogo lakini jitahidi kumchakata kama compensation ya hela
Hela hunaHela ninazo kiasi, alafu mbona wapo hawana hela na wanaliliwa?
Don't forget, napenda ushauri wakoNgoja tunywe supu kwanza tupate nguvu ya kutoa ushaur
Hili jambo mbona lipo wazi kama mapaja ya baamedi....sijui kwanini ubongo wako unashindwa kufanyia kazi kifikra jambo jepesi kama hiliMatusi bro, nataka ushauri
Sio vocal tena?Hela huna
Nyota hunaa
Ungeniopa ushauri badala ya kunidhihaki ingekua Sawa sanaHili jambo lipo wazi kama mapaja ya baamedi....sijui kwanini ubongo wako unashindwa kufanyia kazi kifikra jambo jepesi kama hili
"mliendana sanaa enzi zenu penzi likanoga", so my advice ni kwenye mapenzi try to be agile i.e uweze kumove foward in any uncertainty like now, without thinking twiceNiachane nae? Kiasi flani siamini maana tulioendana sanaa enzi zetu penzi limenoga
Tuhadithie brohHuko tuendako tutakuwa na wakina Karl Marx, Aristotle, wengi sana wa mapwenzi.๐๐๐๐
๐ฅ๐ฅInauma sana ila nitajikaza, nimepitiwa heartbreaks nyingi na hili litapita tu"mliendana sanaa enzi zenu penzi likanoga", so my advice ni kwenye mapenzi try to be agile i.e uweze kumove foward in any uncertainty like now, without thinking twice
Sawa ila nampenda sana
Nipe mbinu. Ukiachana na demu unashauriwa ufute namba na kumbukumbu zake au Niziache tu?Penda unapopendwa usipopendwa achana nako
HahahTuhadithie broh
Ondoa Kila aina ya kumbukumbu yake kwenye maisha yakoNipe mbinu. Ukiachana na demu unashauriwa ufute namba na kumbukumbu zake au Niziache tu?
Sawa broh, nashukuru sana kwa ushauri wakoOndoa Kila aina ya kumbukumbu yake kwenye maisha yako