Hapa ndio ninapokuwa na walakini na uwepo wa Mungu

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
649
Reaction score
975
Habari za siku ya leo WanaJamiiForums?

Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.

Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.

Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).

Ni hayo tu
 
Habari za siku ya leo Wanajamiiforums?

Kasome kitabu cha Ayubu kina unabii mkubwa sana pale..lakini pia wakati una nafasi ya kuandika haya ukiwa na simu janja yenye network, bundle na chaji wakumbuke pia
Waliojibanza vibarazani wasio na makazi
Wagonjwa mahospitalini
Wafungwa magerezani
Nknk
 
Habari za siku ya leo Wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.

Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.

Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).

Ni hayo tu
Usiwe mtu usiyekuwa na tumaini na jifunze kuridhika kwa kile ulicho nacho halafu hata kama utapata kile unachokihitaji sasa bado utaendelea kuwa na tamaa ya kupata kingine kikubwa zaidi ya ulichokipata.

Kimsingi jifunze kuridhika tu na hakuna mtu mwenye kuridhika kwa kile alicho nacho. Tafuta maarifazaidi kwa kujisomea huku ukitanguliza shukrani kwa kila jambo.
 
Habari za siku ya leo Wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.

Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.

Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).

Ni hayo tu
Sababu ziko wapi??
 
Kwa hio ukipata shida katika maisha ndio hakuna Mungu
Km unaamini kuna Mungu japo kwa asilimia chache basi amini pia kuwa kuna qadar za kheri na za mitihani. Au unataka blessings tu pekee bila misukosuko?
Pia ukisema huna dhambi una maana gani?
 
Sijawahi kupata baraka ya aina yoyote kutoka kwa Mungu.
 
Back
Top Bottom