realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
🙏😍Naomba kutoa angalizo,
Kuna baadhi ya members imani zao haziko dhabiti ni vyema kuto fungua kabisa hizo uzi.
Ili kuimarisha imani ya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏😍Naomba kutoa angalizo,
Kuna baadhi ya members imani zao haziko dhabiti ni vyema kuto fungua kabisa hizo uzi.
Ili kuimarisha imani ya
🤝sorry ndo naona your comment... zaidi sana ni like 👊
Kiranga huyu kichaa wa jf?Za kina kiranga
Ndio yanadhuru na mpaka na sema hivi naelewa nacho kisema.Hivi hujui kupinga, ni kuwapa watu curiosity ili wajue hicho unacho kipinga??.
halafu kwanini utahadharishe, Kama vile ni mawazo mabovu yenye kudhuru??
Wakati ni chanzo Cha mijadala yenye kuelimisha!
Wapo members wamebadirisha mitazamo yao kwa hoja zakeKiranga huyu kichaa wa jf?
Mungu atabaki kuwa Mungu utake usitake! Uamini usiamini! Nakuuliza, unawatoto? Ujui changamoto za wanao nyingine wamezirithi kutoka kwako? Umasikini au utajiri wa wanao unatokana na wewe na kama wewe ni kapuku uwe na uhakika na wanao watakuwa kapuku wakati hawajatenda dhambi! Wamerithi shida kutoka kwako. Na wewe madhia unayopitia umeyarithi kutoka kwa wazaz! Kama wazazi wako wapo chukua bakola watembezee kichapo! Kama hawapo tandika walikolala! Ubaya ubwela!Habari za siku ya leo WanaJamiiForums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).
Ni hayo tu
Ni kweli lakini wao wako pabaya zaidi yenu sisiMimi naona kheri hao kuliko sisi tunaoamini uwepo wa Mungu lakini tunachukiana wazi Kwa kigezo Cha Imani Kila mtu kujiona Bora kuliko mwenzio nyuzi hizo ndo zinaongoza Kwa maneno yasiyo na staha na hoja za kukashfiana
Kama ni mkristo kasome kitabu cha ayubu haraka alafu acha kuchagua kazi. Hela hazidondoki kutoka mawinguniHabari za siku ya leo WanaJamiiForums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).
Ni hayo tu
Ipo wazi Mungu fata sheria za Mungu uishiHakuna Mungu ni wazo lililotengenezwa na Wanadamu tu.
Kwenye ule mgogoro wa kule Palestina, walikufa wapalestina 46,000 ikiwemo watoto, wazee, wagane, wajane na watu wengine, msaada wake mliuona?
Vita ya Kongo hapo, zaidi ya miaka 40 watu wanauwawa, wamesaidiwa na nini?
Kinachoendelea hapo Sudan, kinafahamoka, kule Myanmar hasa kwenye Jimbo la Rohingya.
Tazama magonjwa na shida halafu matokeo yake ikawaje?
ukifulahisha watu utajua Mungu yupo Mungu ni akili yako mbinguni na jehanam ipo piaHabari za siku ya leo WanaJamiiForums?