Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kuishi ni baraka toshaSijawahi kupata baraka ya aina yoyote kutoka kwa Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuishi ni baraka toshaSijawahi kupata baraka ya aina yoyote kutoka kwa Mungu.
Upo vizuri sana kimawazo.Na unapokuwa kwenye raha umeshawahi kumsifu na kuamini uwepo wake bila DILEMA yako?Habari za siku ya leo Wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).
Ni hayo tu
Ataipata kali yake aendelee tuMungu yupo na hapendi kudhihakiwa.
Mtu anapata mpaka akili ya kuanzisha na uzi bado haoni hizo ni baraka tu?Kuishi ni baraka tosha
Ni kumuelekeza tu ataelewa taratibuMtu anapata mpaka akili ya kuanzisha na uzi bado haoni hizo ni baraka tu?
Sasa kwanini Mungu awaache waendelee kuteseka???Kasome kitabu cha Ayubu kina unabii mkubwa sana pale..lakini pia wakati una nafasi ya kuandika haya ukiwa na simu janja yenye network, bundle na chaji wakumbuke pia
Waliojibanza vibarazani wasio na makazi
Wagonjwa mahospitalini
Wafungwa magerezani
Nknk
Sijawahi kupata baraka ya aina yoyote kutoka kwa Mungu.
Imani ni jambo binafsi sana hivyo siwezi kumjibiaSasa kwanini Mungu awaache waendelee kuteseka???
Hilo tu la kujua kwamba huna dhambi na ni mtakatifu kabisa ndiyo baraka toshaSijawahi kupata baraka ya aina yoyote kutoka kwa Mungu.
Vitisho tena?Mungu yupo na hapendi kudhihakiwa.
Habari za siku ya leo Wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).
Ni hayo tuimi nimekuelewa, nachoweza kusema sio kipindi chepesi!
Imani ni jambo binafsi sana hivyo siwezi kumjibia
Asante sanaSawa mkuu