Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Kwamba huna dhambi?Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
nikufate wapi nije unielekeze kuhusu MunguMungu yupo na hapendi kudhihakiwa.
Kasome kitabu cha Ayubu kina unabii mkubwa sana pale..lakini pia wakati una nafasi ya kuandika haya ukiwa na simu janja yenye network, bundle na chaji wakumbuke piaHabari za siku ya leo Wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).
Ni hayo tu
Njoo kanisani kwa Mwamposa utanikuta 😜nikufate wapi nije unielekeze kuhusu Mungu
sitaki huko nataka iwe private me and you unifundishe kuhusu Mungu!😅Njoo kanisani kwa Mwamposa utanikuta 😜
Njoo kwetusitaki huko nataka iwe private me and you unifundishe kuhusu Mungu!😅
nipe locationNjoo kwetu
Usiwe mtu usiyekuwa na tumaini na jifunze kuridhika kwa kile ulicho nacho halafu hata kama utapata kile unachokihitaji sasa bado utaendelea kuwa na tamaa ya kupata kingine kikubwa zaidi ya ulichokipata.Habari za siku ya leo Wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).
Ni hayo tu
Sababu ziko wapi??Habari za siku ya leo Wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).
Ni hayo tu
Sijawahi kupata baraka ya aina yoyote kutoka kwa Mungu.Kwa hio ukipata shida katika maisha ndio hakuna Mungu
Km unaamini kuna Mungu japo kwa asilimia chache basi amini pia kuwa kuna qadar za kheri na za mitihani. Au unataka blessings tu pekee bila misukosuko?
Pia ukisema huna dhambi una maana gani?
Huyu akiwahiwa anapona kweli?Yakowapi kuku wew