Hapa ndio ninapokuwa na walakini na uwepo wa Mungu

Mungu yupo haiwezekani kuwa uwepo wetu hapa duniani ni ajali lazima Kuna some powerful natural force iliyofanya ulimwengu na sisi kuwepo hapa and that force is Almighty God
Naomba kutoa angalizo,

Kuna baadhi ya members imani zao haziko dhabiti ni vyema kuto fungua kabisa hizo uzi.

Ili kuimarisha imani ya
 
Niki kupiga ban utasema nakuonea ??
 
MBona unaleta utapeli kwenye mambo ya ibada?
 
Hivi hujui kupinga, ni kuwapa watu curiosity ili wajue hicho unacho kipinga??.

halafu kwanini utahadharishe, Kama vile ni mawazo mabovu yenye kudhuru??
Wakati ni chanzo Cha mijadala yenye kuelimisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…