Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Wazo zuri ila uwekezaji wowote Kuna risk ndani yake kwahyo hepuka lawama za walimwengu ila unawazo zuri sanaKwa wale wenzetu wenye hela za mtaji,mvua kwa Sasa zinasusua,hivyo mazao inavyoonekana yatakuwa hafifu.
Kuna uwezekano mkubwa wa Njaa,hivyo kama unamtaji ni kuweka tayari magunia na stoo ya kuhifadhia nafaka ili uweze kuwauzia wahitaji kwa bei ya Faida kubwa.Ahsanteni.
Kweli MkuuAlizeti au Mafuta yake,
Mpunga,
Mahindi,
Ufuta ndio wakati ushauri Murua.
Sawasawa.Alizeti au Mafuta yake,
Mpunga,
Mahindi,
Ufuta ndio wakati ushauri Murua.
Dodoma linawaka watu meno nje unaweza ukadhani wanatabasamu Kumbe jua Kali!Mvua zimesusa ila Jua km limeagizwa
Huko Ndio kwa kuwekeza kwenye mazao.Mvua inanyesha sana Rukwa muda huu
Kumbe uko Dodoma kama una pesa ingia kwenye Alizeti mkuu si umeona mwaka huu mpaka sokoni zimeisha kabisaDodoma linawaka watu meno nje unaweza ukadhani wanatabasamu Kumbe jua Kali!
Mvua inanyesha sana Rukwa muda huu
Mikoa ambayo Huwa Ina mvua za Kuunga unga ndio mvua zinasuasua ila Nyanda za Juu Kusini inamwagika kama kawaidaKwa wale wenzetu wenye hela za mtaji,mvua kwa Sasa zinasusua,hivyo mazao inavyoonekana yatakuwa hafifu.
Kuna uwezekano mkubwa wa Njaa,hivyo kama unamtaji ni kuweka tayari magunia na stoo ya kuhifadhia nafaka ili uweze kuwauzia wahitaji kwa bei ya Faida kubwa.Ahsanteni.
Dodoma,singida nk tunaungaunga mvua baadhi ya mazao yamekauka!Mikoa ambayo Huwa Ina mvua za Kuunga unga ndio mvua zinasuasua ila Nyanda za Juu Kusini inamwagika kama kawaida
Kaskazini yote ni hivyo hivyoDodoma,singida nk tunaungaunga mvua baadhi ya mazao yamekauka!
Tuwekeze kwenye mazaoKaskazini yote ni hivyo hivyo
Fanyia kazi tupate maokoto!Asante Kwa ushauri
Idea za Watanzania hizi, Hakuna kuwaza kulima kwenye kiangazi, hapana tunawaza uchuuzi, kutwa nzima ni mawazo ya uchuuziKwa wale wenzetu wenye hela za mtaji,mvua kwa Sasa zinasusua,hivyo mazao inavyoonekana yatakuwa hafifu.
Kuna uwezekano mkubwa wa Njaa,hivyo kama unamtaji ni kuweka tayari magunia na stoo ya kuhifadhia nafaka ili uweze kuwauzia wahitaji kwa bei ya Faida kubwa.Ahsanteni.
Njombe mvua ipo chini sana kuliko kawaida. Baadhi ya watu mahindi yalikauka, mvua ilisimama siku 10. Songea napo tee,siijui mbeya. Huu mwaka mazao yatapanda sana mtasikia watu wa Dar wakilialia serikali ifunge mipaka, wanapenda mteremko wa vyakula vya bure, safari hii wafunge mkanda, mahindi yanaweza kufika elf 15-20 kwa debe.Mikoa ambayo Huwa Ina mvua za Kuunga unga ndio mvua zinasuasua ila Nyanda za Juu Kusini inamwagika kama kawaida