Hapa ndio pa kuwa na pesa kama unamtaji!

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
7,755
Reaction score
11,737
Kwa wale wenzetu wenye hela za mtaji,mvua kwa Sasa zinasusua,hivyo mazao inavyoonekana yatakuwa hafifu.

Kuna uwezekano mkubwa wa Njaa,hivyo kama unamtaji ni kuweka tayari magunia na stoo ya kuhifadhia nafaka ili uweze kuwauzia wahitaji kwa bei ya Faida kubwa.Ahsanteni.
 
Wazo zuri ila uwekezaji wowote Kuna risk ndani yake kwahyo hepuka lawama za walimwengu ila unawazo zuri sana
 
Kwa wale wenzetu wenye hela za mtaji,mvua kwa Sasa zinasusua,hivyo mazao inavyoonekana yatakuwa hafifu.
Kuna uwezekano mkubwa wa Njaa,hivyo kama unamtaji ni kuweka tayari magunia na stoo ya kuhifadhia nafaka ili uweze kuwauzia wahitaji kwa bei ya Faida kubwa.Ahsanteni.
Mikoa ambayo Huwa Ina mvua za Kuunga unga ndio mvua zinasuasua ila Nyanda za Juu Kusini inamwagika kama kawaida
 
Idea za Watanzania hizi, Hakuna kuwaza kulima kwenye kiangazi, hapana tunawaza uchuuzi, kutwa nzima ni mawazo ya uchuuzi
 
Bila kusahau wale walio Njombe na Mbeya wanaweza kupanda mahindu ya kumwagilia na wakapiga hela. Njombe na mbeya umwagiliaji unawezekana, mito ni mingi.
 
Mikoa ambayo Huwa Ina mvua za Kuunga unga ndio mvua zinasuasua ila Nyanda za Juu Kusini inamwagika kama kawaida
Njombe mvua ipo chini sana kuliko kawaida. Baadhi ya watu mahindi yalikauka, mvua ilisimama siku 10. Songea napo tee,siijui mbeya. Huu mwaka mazao yatapanda sana mtasikia watu wa Dar wakilialia serikali ifunge mipaka, wanapenda mteremko wa vyakula vya bure, safari hii wafunge mkanda, mahindi yanaweza kufika elf 15-20 kwa debe.
 
Back
Top Bottom