Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama, ndio maana tunasema "Nani kama mama"

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama na ndio maana tukasema nani km mama maana mama hazingiziwi mimba wala mtoto ila baba wengi wanalea watoto sio wao.

Mgawanyo wa majukumu huo, Mmoja yupo kwajili ya pesa mwengine yupo kwajili ya mapenzi na shoo.

Ukitaka uujue uchawi weka mashine ya vipimo vya dna mtaani kwako, vipimo viwe bure na haraka.

rrrere.png
 
Kuna watu wataanza kuchukua watoto wao na kuwapima kwa siri DNA, mweeeeeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 2213777
Hata mama anaweza akachanganyiwa mtoto hospitali, na hapo huyo mtoto atakuwa sio wa baba wala mama. Kwa ufupi si lazima kila mtoto anayejua uhalali wake ni mama
 
Na majibu ya positive TU Ndo yatakua Siri,
Ya negative Lazima kanga ichanike
 
Hata mama anaweza akachanganyiwa mtoto hospitali, na hapo huyo mtoto atakuwa sio wa baba wala mama. Kwa ufupi si lazima kila mtoto anayejua uhalali wake ni mama
DNA inapimwa kwa wote na majibu huanzwa kulinganishiwa kwa mama halafu baba anafata.
 
DNA haipimwi kama njugu, mpaka ruhusa ya mahakama na uwe tayar kulipia gharama zake na majibu yake hua ni 💯 positive.
 
Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama na ndio maana tukasema nani km mama maana mama hazingiziwi mimba wala mtoto ila baba wengi wanalea watoto sio wao.

Mgawanyo wa majukumu huo, Mmoja yupo kwajili ya pesa mwengine yupo kwajili ya mapenzi na shoo.

Ukitaka uujue uchawi weka mashine ya vipimo vya dna mtaani kwako, vipimo viwe bure na haraka.

View attachment 2213777
Mlinzi wa nini cctv kibao tu.
 
Kwahiyo natakiwa kukubaliana na hii komedi yako kwa kutumia hizo editing?
 
Back
Top Bottom