Hapa ndio wanawake siwaelewagi:Mkuu wa Mkoa ana kagua mafuriko kavaa kama anaenda harusini

Hapa ndio wanawake siwaelewagi:Mkuu wa Mkoa ana kagua mafuriko kavaa kama anaenda harusini

Kijiji cha Mshiri na ndipo lango kuu la kuingia mlango wa kuukwea Mlima, kipo juu kabisa Mlimani katika Kata ya Marangu, huko huwa hakuna mafuriko na ni kawaida watu kupita juu ya mawe kwenda upande wa pili. km maji ya mfereji au mto yamevunja kingo ndipo huingia barabarani,
CHANGAMOTO maeneo haya hayana barabara za uhakika hata Mbunge wa Jimbo Mh Mbatia alipochangisha kwa ajili ya matengenezo Mkuu wa Mkoa alikwamisha
Nyie si mnasemaga mna lami mpaka choon [emoji23]
 
Nyie si mnasemaga mna lami mpaka choon [emoji23]
Hapana ni wao
na jana Magu kirumba kasema pia ameongeza
Kigwangala alisema ataweka Cable kutakuwa hakuna tena kuruka mawe na kushikiliwa ni vuu mpaka Horombo. Kibo Gilmans point Uhuru
 
View attachment 1286214
Mtanzania, pg 11, 9/12/2019
Huu sasa tuite ni mfumo jike au nini.
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro "anakagua" mafuriko mkoani kwake hana Safety Clothing hata moja.
Utafikiri bi harusi anaenda kitchen party.

Kuna tatizo gani wanawake wajameni, mbona siwaelewi?
Wanawake hawakuumbwa kuwa viongozi. Sasa hapo hali ikiwa mbaya si anakufa huyu?
 
Back
Top Bottom