Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Magufuli alikuwa anaiimarisha CHADEMA kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini CHADEMA ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.
Mama Samia ametumia mbinu tofauti. Kwamba nao wale nasi. Hii ni njia nzuri maana sasa wana chakula mdomoni hawawezi zungumza. Umeona report ya CAG ikishambuliwa na CHADEMA? Huwezi ona jambo hilo. Wana chakula mdomoni.
Leo hii ACT ndo wanajaribu kutaka kuandamana. CDM wamenyamaza. Baada ya muda niamini hutakuja kupata kitu katika CHADEMA na watu watahama CHADEMA kwenda CCM au ACT. CHADEMA ya sasa imepoa sana. Haina meno, imekuwa kibogoyo.
Pongezi zitolewe kwa Serikali ya awamu hii. Ile iliyopita iliwapa milage sana CHADEMA. Sababu tu haikuelewa how to deal na watu hawa. Haikuwa inajua siasa. Magufuli hakujua siasa. Sasa wenzake wanaua hivi vyama kitaalamu sana.