sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,634
- 11,696
Kwa aliyoyafanya Magufuli wala haikuhitaji kufikirishwa na mtu. Vitu vilikuwa vinaonekana.
Bahati mbaya yao chadema ni kuwa Magu hakuwa na pesa za walipa kodi kuwalambisha chadema na mahawala zao asali.
Lakini kwa sababu walitaka kumuingia kwa vita basi nae akawanyoosha kisawasawa mpaka maji wakaita mma.
Chadema hawatakuja kumsahau Magufuli hadi wanaingia kaburini. Mbona CUF na vyama vingine walikaa vizuri tu na Magu.
Chadema waliponzwa na dharau, kiburi, matusi, jeuri, kumpanda Magu kichwani na kujiona wao ni sehemu ya utawala wa nchi kama wanavyompelekesha macho kungumanga.