Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Magufuli alikuwa anaiimarisha Chadema kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini Chadema ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.
Mama Samia ametumia mbinu tofauti. Kwamba nao wale nasi. Hii ni njia nzuri maana sasa wana chakula mdomoni hawawezi zungumza. Umeona report ya CAG ikishambuliwa na Chadema? Huwezi ona jambo hilo. Wana chakula mdomoni.
Leo hii ACT ndo wanajaribu kutaka kuandamana. CDM wamenyamaza. Baada ya muda niamini hutakuja kupata kitu katka chadema. Na watu watahama Chadema kwenda CCM au ACT. chadema ya sasa imepoa sana. Haina meno.... Imekuwa kibogoyo.
Pongezi zitolewe kwa Serikali ya awamu hii. Ile iliyopita iliwapa milage sana Chadema. Sababu tu haikuelewa how to deal na watu hawa. Haikuwa inajua siasa. Magufuli hakujua siasa. Sasa wenzake wanaua hivi vyama kitaalamu sana.
Wewe mjinga sana kama huoni umuhimu wa upinzani wenye ngu!Magufuli alikuwa anaiimarisha Chadema kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini Chadema ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.
Mama Samia ametumia mbinu tofauti. Kwamba nao wale nasi. Hii ni njia nzuri maana sasa wana chakula mdomoni hawawezi zungumza. Umeona report ya CAG ikishambuliwa na Chadema? Huwezi ona jambo hilo. Wana chakula mdomoni.
Leo hii ACT ndo wanajaribu kutaka kuandamana. CDM wamenyamaza. Baada ya muda niamini hutakuja kupata kitu katka chadema. Na watu watahama Chadema kwenda CCM au ACT. chadema ya sasa imepoa sana. Haina meno.... Imekuwa kibogoyo.
Pongezi zitolewe kwa Serikali ya awamu hii. Ile iliyopita iliwapa milage sana Chadema. Sababu tu haikuelewa how to deal na watu hawa. Haikuwa inajua siasa. Magufuli hakujua siasa. Sasa wenzake wanaua hivi vyama kitaalamu sana.
Hivi wewe unaifaham CHADEMA VIZURI, sio kwamba SSH Amweza , bali ni kwamba Chadema imevuka mikakati yote ya ccm walizozitumia kuuwa vyama vingine , Kete iliyokuwa imebaki ni kumfunga Mbowe , kitu ambacho kilileta Taswira mpya ktika jumuia za kimataifa, na waliufyata,Magufuli alikuwa anaiimarisha Chadema kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini Chadema ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.
Mama Samia ametumia mbinu tofauti. Kwamba nao wale nasi. Hii ni njia nzuri maana sasa wana chakula mdomoni hawawezi zungumza. Umeona report ya CAG ikishambuliwa na Chadema? Huwezi ona jambo hilo. Wana chakula mdomoni.
Leo hii ACT ndo wanajaribu kutaka kuandamana. CDM wamenyamaza. Baada ya muda niamini hutakuja kupata kitu katka chadema. Na watu watahama Chadema kwenda CCM au ACT. chadema ya sasa imepoa sana. Haina meno.... Imekuwa kibogoyo.
Pongezi zitolewe kwa Serikali ya awamu hii. Ile iliyopita iliwapa milage sana Chadema. Sababu tu haikuelewa how to deal na watu hawa. Haikuwa inajua siasa. Magufuli hakujua siasa. Sasa wenzake wanaua hivi vyama kitaalamu sana.
Povu. Sasa upinzani wenye nguvu unauona wapi? Nyie huwa hamwezi kujenga hoja mpaka mtumie maneno kama hayo? Kwa nini ni wakati wote mnatokwa povu tu? Mna kisirani cha nini?Wewe mjinga sana kama huoni umuhimu wa upinzani wenye ngu!
Hayati Magufuli alikataa kujiunga na Kundi hili dogo la wadhurumaji wa Mali za wengi . Pande zote ndani ya CCM na CHADEMA, vimejaa mafisadi.Magufuli alikuwa anaiimarisha Chadema kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini Chadema ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.
Mama Samia ametumia mbinu tofauti. Kwamba nao wale nasi. Hii ni njia nzuri maana sasa wana chakula mdomoni hawawezi zungumza. Umeona report ya CAG ikishambuliwa na Chadema? Huwezi ona jambo hilo. Wana chakula mdomoni.
Leo hii ACT ndo wanajaribu kutaka kuandamana. CDM wamenyamaza. Baada ya muda niamini hutakuja kupata kitu katka chadema. Na watu watahama Chadema kwenda CCM au ACT. chadema ya sasa imepoa sana. Haina meno.... Imekuwa kibogoyo.
Pongezi zitolewe kwa Serikali ya awamu hii. Ile iliyopita iliwapa milage sana Chadema. Sababu tu haikuelewa how to deal na watu hawa. Haikuwa inajua siasa. Magufuli hakujua siasa. Sasa wenzake wanaua hivi vyama kitaalamu sana.
Upo sahihi japo siwez ku comment ubaya wowote wa viongoz wa chadema weng wamekaa jela nan ali share pain zao....kwakwel dont judge pengne hata mm ningekubali asali as long as umaskin ndoo shda kubwa....but in reality its heart painMagufuli alikuwa anaiimarisha Chadema kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini Chadema ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.
Mama Samia ametumia mbinu tofauti. Kwamba nao wale nasi. Hii ni njia nzuri maana sasa wana chakula mdomoni hawawezi zungumza. Umeona report ya CAG ikishambuliwa na Chadema? Huwezi ona jambo hilo. Wana chakula mdomoni.
Leo hii ACT ndo wanajaribu kutaka kuandamana. CDM wamenyamaza. Baada ya muda niamini hutakuja kupata kitu katka chadema. Na watu watahama Chadema kwenda CCM au ACT. chadema ya sasa imepoa sana. Haina meno.... Imekuwa kibogoyo.
Pongezi zitolewe kwa Serikali ya awamu hii. Ile iliyopita iliwapa milage sana Chadema. Sababu tu haikuelewa how to deal na watu hawa. Haikuwa inajua siasa. Magufuli hakujua siasa. Sasa wenzake wanaua hivi vyama kitaalamu sana.
Hakuna lolote kwenye upinzani. Chadema ni chama kimejaa mafisadi wasiokuwa na sifa za uongozi. . Wamejipanga kuchukuwa serikali ili nawo waitafune nchi. .Povu. Sasa upinzani wenye nguvu unauona wapi? Nyie huwa hamwezi kujenga hoja mpaka mtumie maneno kama hayo? Kwa nini ni wakati wote mnatokwa povu tu? Mna kisirani cha nini?
Kwasababu wamepitia ugumu ndio walambe asali?Watu mna mambo ya ajabu sana.Wakati CDM wanapitia wakati mgumu wa kupigwa,kufungwa,kusingiziwa makesi,kuuwawa,kupewa vilema na mengine mengi hamkujitokeza kuwa nao.Sasa hivi ndiyo mnataka muwaone kwa lipi?Anzisheni vyama vyenu au ninyi wenyewe muwe wakinzani.Kwani mmekatazwa?Simama ujipiganie.Kusingizia watu sijui wanalamba asali,na wewe tafuna hata nta!
Samahani mkuu ililazimika kumpindua MAGUFULI Kwa namna yoyote hile. Isinge wezekana Tena kuishi TANZANIA. Kama Kuna mtu Mmoja anapitta kwenye mifuko ya watu na kuwasachi huku akiwauliza Hela mmetoa wapi na mna t sh ngapi. Hili ndilo lilomgarimu ndio mwanzo WA kifo chake. Hata wewe kama unatabia ya kutaka kujua watu wametoa wapi pesa na wanatumiaje fahami kuwa UTAKUFA KIFO CHA AIBU KAMA DIKTETA MAGUFULIHAYATI MAGUFULI alikataa kujiunga na Kundi hili dogo la wadhurumaji wa Mali za wengi. . Pande zote ndani ya CCM na Chadema, vimejaa mafisadi. Tanzania kwa sasa haina chama cha kutegemea, wote wanakula pamoja. Kumbukeni safari za KIKWETE za Ulaya alisafiri na wapinzani. kulikuwa hakuna kelele, ni kundi dogo liliiteka na sasa walifanikiwa kumuzimisha HAYATI MAGUFULI. . Magufuli alipoingia alikataa kujiunga na kundi hili Na kujaribu kuokowa nchi hii kutoka kwa watu wachache. Kwa sasa imerudi mikononi mwa. Nchi inanimate ufisadi. Magu alipigwa vita na propaganda huku wakisaidiwa na vyombo vya habari za nje. MAGUFULI alizungukwa na cartels mpaka akapoteza maisha yake. Sijuwi Kama tutapata Rais ama MAGUFULI
Uliwaona wapi wakijilambisha asali?Hata hivyo,kama mtu akitokwa jasho hana budi kuoga.Unawaonea wivu wakati haukuwa nao kwenye madhila?Kwasababu wamepitia ugumu ndio walambe asali?
Kuwe una Akili ndogo waliosema MAJALIWA awajibike kwa Report ya CAG ni CUF?Magufuli alikuwa anaiimarisha Chadema kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini Chadema ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.
Mama Samia ametumia mbinu tofauti. Kwamba nao wale nasi. Hii ni njia nzuri maana sasa wana chakula mdomoni hawawezi zungumza. Umeona report ya CAG ikishambuliwa na Chadema? Huwezi ona jambo hilo. Wana chakula mdomoni.
Leo hii ACT ndo wanajaribu kutaka kuandamana. CDM wamenyamaza. Baada ya muda niamini hutakuja kupata kitu katka chadema. Na watu watahama Chadema kwenda CCM au ACT. chadema ya sasa imepoa sana. Haina meno.... Imekuwa kibogoyo.
Pongezi zitolewe kwa Serikali ya awamu hii. Ile iliyopita iliwapa milage sana Chadema. Sababu tu haikuelewa how to deal na watu hawa. Haikuwa inajua siasa. Magufuli hakujua siasa. Sasa wenzake wanaua hivi vyama kitaalamu sana.
Me siwezi kuwaonea wivu ili iweje? ila nafuraha kuona rangi yao halisi imefahamikaUliwaona wapi wakijilambisha asali?Hata hivyo,kama mtu akitokwa jasho hana budi kuoga.Unawaonea wivu wakati haukuwa nao kwenye madhila?