Tangu lini maandamano yakamaliza ufisadi??Leo hii ACT ndo wanajaribu kutaka kuandamana. CDM wamenyamaza. Baada ya muda niamini hutakuja kupata kitu katka chadema. Na watu watahama Chadema kwenda CCM au ACT. chadema ya sasa imepoa sana. Haina meno.... Imekuwa kibogoyo.
Kwa aliyoyafanya Magufuli wala haikuhitaji kufikirishwa na mtu. Vitu vilikuwa vinaonekana.
Bahati mbaya yao chadema ni kuwa Magu hakuwa na pesa za walipa kodi kuwalambisha chadema na mahawala zao asali.
Lakini kwa sababu walitaka kumuingia kwa vita basi nae akawanyoosha kisawasawa mpaka maji wakaita mma.
Chadema hawatakuja kumsahau Magufuli hadi wanaingia kaburini. Mbona CUF na vyama vingine walikaa vizuri tu na Magu.
Chadema waliponzwa na dharau, kiburi, matusi, jeuri, kumpanda Magu kichwani na kujiona wao ni sehemu ya utawala wa nchi kama wanavyompelekesha macho kungumanga.
Mtu anajiita Chizi Maarifa, unategemea nini kutoka kwakeMagufuli alikuwa anaiimarisha Chadema kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini Chadema ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.
Mama Samia ametumia mbinu tofauti. Kwamba nao wale nasi. Hii ni njia nzuri maana sasa wana chakula mdomoni hawawezi zungumza. Umeona report ya CAG ikishambuliwa na Chadema? Huwezi ona jambo hilo. Wana chakula mdomoni.
Leo hii ACT ndo wanajaribu kutaka kuandamana. CDM wamenyamaza. Baada ya muda niamini hutakuja kupata kitu katka chadema. Na watu watahama Chadema kwenda CCM au ACT. chadema ya sasa imepoa sana. Haina meno.... Imekuwa kibogoyo.
Pongezi zitolewe kwa Serikali ya awamu hii. Ile iliyopita iliwapa milage sana Chadema. Sababu tu haikuelewa how to deal na watu hawa. Haikuwa inajua siasa. Magufuli hakujua siasa. Sasa wenzake wanaua hivi vyama kitaalamu sana.
Usitumie makalio kufikiri. Tumia akili.Magufuli alikuwa anaiimarisha Chadema kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini Chadema ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.
Mama Samia ametumia mbinu tofauti. Kwamba nao wale nasi. Hii ni njia nzuri maana sasa wana chakula mdomoni hawawezi zungumza. Umeona report ya CAG ikishambuliwa na Chadema? Huwezi ona jambo hilo. Wana chakula mdomoni.
Leo hii ACT ndo wanajaribu kutaka kuandamana. CDM wamenyamaza. Baada ya muda niamini hutakuja kupata kitu katka chadema. Na watu watahama Chadema kwenda CCM au ACT. chadema ya sasa imepoa sana. Haina meno.... Imekuwa kibogoyo.
Pongezi zitolewe kwa Serikali ya awamu hii. Ile iliyopita iliwapa milage sana Chadema. Sababu tu haikuelewa how to deal na watu hawa. Haikuwa inajua siasa. Magufuli hakujua siasa. Sasa wenzake wanaua hivi vyama kitaalamu sana.
Katibu wa chama (Cdm) ameliongelea swala hili , tena kwa uchambuzi wa hali ya juu.Magufuli alikuwa anaiimarisha Chadema kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini Chadema ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.
Mama Samia ametumia mbinu tofauti. Kwamba nao wale nasi. Hii ni njia nzuri maana sasa wana chakula mdomoni hawawezi zungumza. Umeona report ya CAG ikishambuliwa na Chadema? Huwezi ona jambo hilo. Wana chakula mdomoni.
Leo hii ACT ndo wanajaribu kutaka kuandamana. CDM wamenyamaza. Baada ya muda niamini hutakuja kupata kitu katka chadema. Na watu watahama Chadema kwenda CCM au ACT. chadema ya sasa imepoa sana. Haina meno.... Imekuwa kibogoyo.
Pongezi zitolewe kwa Serikali ya awamu hii. Ile iliyopita iliwapa milage sana Chadema. Sababu tu haikuelewa how to deal na watu hawa. Haikuwa inajua siasa. Magufuli hakujua siasa. Sasa wenzake wanaua hivi vyama kitaalamu sana.
Wale jamaa wanakuja mda c mref!Magufuli alikuwa anaiimarisha Chadema kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini Chadema ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.