Huyu mjinga anashinda JF anaandika pumba zake za kufikirika anapata comments 20 za anonymous wenzie alafu anajipa umuhimu wa kusikilizwa na management ya club kubwa Tanzania kama Simba. Takataka kabisa ๐ฎNgoja aje... ๐
AaahaaaKwamba viongozi wa Simba wakusilize wewe mchimba chumvi???
Unajipa umuhimu usio kuwa nao, wewe ni mfuko wa Rambo mnadanganyana sana umu washamba nyie
Mashabiki wa Rage fc wana matatizo sana, yaani bado mnaamini Yanga ili iifunge Simba ni lazima itoe maelekezo kwa wachezaji wa Simba kucheza chini ya kiwango. Endeleeni kuamini mnahujumiwa huku Yanga ikichanja mbunga, yaani kafungwa Belouizdad goli 4 mshindwe kufungwa nyie timu ya kuunga unga. Mechi za klabu bingwa hadi unacheza hatua ya makundi hukushinda hata mechi moja. Umecheza michezo miwili ya AFL hukushinda.Viongozi wa Simba watakuwa wapumbavu kuweka dau kubwa kwa mchezaji yeyoye kwa sasa.Mchezaji kama Inonga ameigharimu sana timu.Tena anafanya maksudi.Hapa ndipo ninapoona yanga wamefanikiwa sana.Wana uwezo wa kuwaambia baadhi ya wachezaji wa Simba wacheze chini ya kiwango na wanafanya hivyo
Roho mbaya tuuMchezaji akitaka kuondoka lazima timu husika itoe mzigo wa uhakika vinginevyo Simba itakuwa inapoteza wachezaji kwa sababu za kipuuzi. Weka dau kubwa akibaki piga benchi mpaka kiwango kishuke maana ameshindwa kuheshimu taaluma yake
Tanga siku zote wakufungwa na Simba ndio wanadai wachezaji wamenunuluwa, kynachojadiliwa ni mienendo na tabia za Inonga msimu huu.Mashabiki wa Rage fc wana matatizo sana, yaani bado mnaamini Yanga ili iifunge Simba ni lazima itoe maelekezo kwa wachezaji wa Simba kucheza chini ya kiwango. Endeleeni kuamini mnahujumiwa huku Yanga ikichanja mbunga, yaani kafungwa Belouizdad goli 4 mshindwe kufungwa nyie timu ya kuunga unga. Mechi za klabu bingwa hadi unacheza hatua ya makundi hukushinda hata mechi moja. Umecheza michezo miwili ya AFL hukushinda.
Umecheza michezo 10 ya klabu bingwa umeshinda michezo miwili pekee katika michezo 10 halafu bado hamtaki kuamini timu yenu inastahili kufungwa na Yanga.
Ahmed Ally amesema Aziz K tayari washamteka Jangwani, maana mwaka jana Ngoma mlimteka uwanja wa ndege.Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC?
Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni muende wapi mkampige Pini muone kama hata huko Yanga SC Kwenyewe atacheza Kudadadeki zake.
Hakuna Mchezaji nisiyempenda kama huyo kwani Katumiiza mno tu Simba SC japo akima Matomaso wengi Simba SC hawajui.
Imani Kajula ni mtu mzuri tuHivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC?
Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni muende wapi mkampige Pini muone kama hata huko Yanga SC Kwenyewe atacheza Kudadadeki zake.
Hakuna Mchezaji nisiyempenda kama huyo kwani Katumiiza mno tu Simba SC japo akima Matomaso wengi Simba SC hawajui.
Huyo niliyem quote ulisoma maelezo yake ukayaelewa? Kasema "Yanga wamefanikiwa sana.Wana uwezo wa kuwaambia baadhi ya wachezaji wa Simba wacheze chini ya kiwango na wanafanya hivyo" kauli hii inaonesha kuwa Yanga hupata matokeo kwa kutegemea kuihujumu Simba.Tanga siku zote wakufungwa na Simba ndio wanadai wachezaji wamenunuluwa, kynachojadiliwa ni mienendo na tabia za Inonga msimu huu.
Kwanza amekuwa na majeruhi yasiyoeleweka, mechi na prison morogoro alijiangysha baada ya goi kufungwa akadai kaumia,, mechi na yanga alijufanya kaumia mapema akatoka wakati rafu ilikuwa ya kawaida, kabla ya mechi ya Simba na yanga Kuna aliyekuwa kiongozi wa Simba alikamatwa na Takukuru baada ya mchezaji wa yanga kutoa taarifa ya kutaka kuhongwa lakini swala likazimwa kimyakimya. Rushwa ipo Wala usikatae . Inonga kacheza mechi zote za afcon Ila Simba mechi mbili majeruhi.
Umenichekesha sana mkuu.Ahmed Ally amesema Aziz K tayari washamteka Jangwani, maana mwaka jana Ngoma mlimteka uwanja wa ndege.
Kwani Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?Huyo niliyem quote ulisoma maelezo yake ukayaelewa? Kasema "Yanga wamefanikiwa sana.Wana uwezo wa kuwaambia baadhi ya wachezaji wa Simba wacheze chini ya kiwango na wanafanya hivyo" kauli hii inaonesha kuwa Yanga hupata matokeo kwa kutegemea kuihujumu Simba.
Je kwa uwezo upi wa Simba uliooneshwa hadi Yanga wawafikirie kuwahonga? Mna ushahidi upi juu ya hilo? Mmechukua hatua ipi juu ya hilo kwa kupeleka kesi TAKUKURU?
Ni swala la ajabu sana kusema Inonga alijifanya kaumia kwenye mechi ya Yanga wakati rafu ilikuwa ya kawaida je maumivu ya kuumia siku hizi yanapimwa kwa macho? Au wewe ulikuwa ni daktari ukajua ni ukubwa wa tatizo lilikuaje? Msiwe wepesi wa kuendeshwa na hisia kwa vitu vinavyohitaji watu wenye professional watoe majibu. Una taaluma ya udaktari unatoa hukumu ya kidaktari!
Kwenye mechi ya Prisons, Inonga hakujiangusha bali alipigwa chenga ya mwili kwani mpira mliangalia peke yenu? Inonga alipigwa chenga ya mwili na kisha akadondoka.
Huyo Inonga leo kageuka tambara la deki kwa matukio ambayo hakuna hata mmoja wenu kamkamata na kithibitisho na kusahau alivyocheza kwa kujitoa, kwa kusahihisha hadi makosa ya wenzake ili mradi tu kuifanya lango la Simba liwe salama. Kweli mashabiki wa Simba ni vigeugeu haswa.
Wwww ndio hukuangalia mpira wa Simba na prisons aliyepigwa chenga akaanguka ni Kennedy Juma Inonga alijiangusha.Huyo niliyem quote ulisoma maelezo yake ukayaelewa? Kasema "Yanga wamefanikiwa sana.Wana uwezo wa kuwaambia baadhi ya wachezaji wa Simba wacheze chini ya kiwango na wanafanya hivyo" kauli hii inaonesha kuwa Yanga hupata matokeo kwa kutegemea kuihujumu Simba.
Je kwa uwezo upi wa Simba uliooneshwa hadi Yanga wawafikirie kuwahonga? Mna ushahidi upi juu ya hilo? Mmechukua hatua ipi juu ya hilo kwa kupeleka kesi TAKUKURU?
Ni swala la ajabu sana kusema Inonga alijifanya kaumia kwenye mechi ya Yanga wakati rafu ilikuwa ya kawaida je maumivu ya kuumia siku hizi yanapimwa kwa macho? Au wewe ulikuwa ni daktari ukajua ni ukubwa wa tatizo lilikuaje? Msiwe wepesi wa kuendeshwa na hisia kwa vitu vinavyohitaji watu wenye professional watoe majibu. Una taaluma ya udaktari unatoa hukumu ya kidaktari!
Kwenye mechi ya Prisons, Inonga hakujiangusha bali alipigwa chenga ya mwili kwani mpira mliangalia peke yenu? Inonga alipigwa chenga ya mwili na kisha akadondoka.
Huyo Inonga leo kageuka tambara la deki kwa matukio ambayo hakuna hata mmoja wenu kamkamata na kithibitisho na kusahau alivyocheza kwa kujitoa, kwa kusahihisha hadi makosa ya wenzake ili mradi tu kuifanya lango la Simba liwe salama. Kweli mashabiki wa Simba ni vigeugeu haswa.
Inonga alipigwa chenga ndipo akadondoka. Mpira ulivyokuwa unakuja, mchezaji wa Prisons aliu control ule mpira kwa kuubadilisha muelekeo wake. Hivyo Inonga alitaka kufosi mwili wake ubadilishe maamuzi kwa ghafla kwa kubadilisha muelekeo kuufata mpira, hapo ndipo akakosa balance akadondoka. Mpira ni mchezo wa Fizikia na Baiolojia. Ndio maana unaona mchezaji anapiga penati na kipa lengo lake ni kuruka kulia ila hajaruka bado kisawasawa lakini anaona mpira huo unampitia karibu yake, hawezi kuulazimisha mwili uucheze ule mpira. Akiulazimisha mwili ataumia na hata mpira hatoweza ucheza. Nenda kaangalie vizuri jinsi yule mchezaji alivyoharibu intention ya Inonga kwa kuubadilisha ule mpira mwelekeoWwww ndio hukuangalia mpira wa Simba na prisons aliyepigwa chenga akaanguka ni Kennedy Juma Inonga alijiangusha.
Kwani nawe / nyie aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael Raia wa Ubelgiji alivyowaiteni Yanga SC wote ( ipo YouTube ) kuwa ni Mbwa, Nyani na Sokwe alikosea na hamkumuelewa? Nasubiria jibu lako Mkuu.Kwani Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?
Hahahaha unamaanisha nini mkuu? GENTAMYCINE hawezi kusikilizwa?Huyu mjinga anashinda JF anaandika pumba zake za kufikirika anapata comments 20 za anonymous wenzie alafu anajipa umuhimu wa kusikilizwa na management ya club kubwa Tanzania kama Simba. Takataka kabisa ๐ฎ
Huyo mtafuta likes attention seeker ni nobodyHahahaha unamaanisha nini mkuu? GENTAMYCINE hawezi kusikilizwa?
Ila cha Kushangaza pamoja na huku Kutomkubali Kwako / Kwenu Wapumbavu bado tu Kutwa mnamfuatilia JamiiForums.Huyo mtafuta likes attention seeker ni nobody
tatizo akili yako bado inashindww kuchambua vitu. Tazamq nyuzi zako nyingi katika ya watu6 wanne wanakuchokoza sababu walishakujua na jinsi ambavyo huwezi ku control hisia zako watu walishachukulia kama mchezo. Wewe ni mwepesi sana tunafatilia uzi zako sababu ya udhaifu mkubwa ulionao. Umesikiq dogo? Na sio kwa sabab unaandika vitu vya maana huwa unaandika vitu vya hovyo nakusubir ujae kwenye 18 zangu uone sawa dogo?Ila cha Kushangaza pamoja na huku Kutomkubali Kwako / Kwenu Wapumbavu bado tu Kutwa mnamfuatilia JamiiForums.