Tanga siku zote wakufungwa na Simba ndio wanadai wachezaji wamenunuluwa, kynachojadiliwa ni mienendo na tabia za Inonga msimu huu.
Kwanza amekuwa na majeruhi yasiyoeleweka, mechi na prison morogoro alijiangysha baada ya goi kufungwa akadai kaumia,, mechi na yanga alijufanya kaumia mapema akatoka wakati rafu ilikuwa ya kawaida, kabla ya mechi ya Simba na yanga Kuna aliyekuwa kiongozi wa Simba alikamatwa na Takukuru baada ya mchezaji wa yanga kutoa taarifa ya kutaka kuhongwa lakini swala likazimwa kimyakimya. Rushwa ipo Wala usikatae . Inonga kacheza mechi zote za afcon Ila Simba mechi mbili majeruhi.