Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Changamoto ni hawa maamuma wetu wanataka wote tufanane mitazamo.Mashia Wala hawanaga shida na wakristo na sherehe zao , japo ni Kati ya waislamu wenye misimamo mikali
Nini tofauti ya uislam wa saudia na Iran?Kitu cha kuletewa kina kuja na mchezo wa draft.
Na aliyekueletea wala habari nacho hana.
Kuna mada hapa JF walifuta sijajua shida ni nini.
Dini ya kiislamu ina madhehebu mengi ila wanabisha wengi.
uwezi kusema uislamu ni dini moja wakati mnapingana.
uislamu wa irani sio wa saudia.Kuna makundi yanajifichia misikitini na kutengeneza misimamo yao sawa kama unavyo waona mwamposa.
Uwezi sema mafundisho ya mombasa kipindi cha marehemu shaikh logo ya kawa kama kariakoo msimbazi.
ID yako naomba maelezo maana umeshindwa kuonesha akili zako.Nini tofauti ya uislam wa saudia na Iran?
Acha kupotosha
Tuliza akili tuingie kwenye point.acha kutumia ruka.ID yako naomba maelezo maana umeshindwa kuonesha akili zako.