Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
1. Moshi hakuna waokota machupa.
2. Moshi hakuna mateja.
3. Moshi hakunuki Mikojo.
4. Moshi hakuna machangudoa.
5. Moshi hakuna wachoma vitumbua jioni Barabarani.
6. Moshi hakuna kukatika umeme wala Maji.
7. Moshi hakuna ombaomba.
8. Moshi hakuna foleni Barabarani.
9. Moshi hakuna wapiga debe.
10. Moshi hakuna matangazo ya waganga Barabarani.
11. Moshi hakuna vijiwe vya Gahawa.
12. Moshi hakuna vumbi.
14. Moshi hakuna makelele ya 9t Club kwenye makazi ya watu.
15. Moshi hakuna Gesti bubu kuna Hotel.
16. Moshi hukuti bendera ya CCM ikipepea.
17. Moshi ukiingia Disco utakuta nusu wazungu, nusu Wabongo.
18. Moshi vijana hawanyoi Kiduku.
19. Moshi vijana hawavai mlegezo.
20. Cha mwisho na muhimu, Moshi Mirungi inapatikana kuanzia saa Nne Asubuhi.