hapa ndo utaamini wachagga ni Kabila bora hapa TZ

hapa ndo utaamini wachagga ni Kabila bora hapa TZ

Vitumbua havina mwenyewe wewee acha ushamba wako.
Nyie ndio mnaosema Mtori ni chakula cha Wachagga matokeo yake mkipigwa na Typhoid au U.T.I mnaagiza mletewe Mtori...inahuu?
Mbona humuelezi huyo mchaga mwenzio alisomea hakupikwi vitumbua? Halafu usidanganye umati vitumbua mnaiga tu:love:
 
Moshi mtu akienda kununua condom atapoteza dkk 10 akiomba apunguziwe bei ya ndom!
 
Kumbe kwao hawafanyi hivyo vitu wanakuja kuvifanyia mikoani eenh?Maana machangu kibao wa dar wanatoka huko,waokota makopo tena hadi watoto wadogo wapo wakutosha tu wanatokea huko. Halafu mangi hapa kitaa ndiyo anaongoza kwa kuchafua mazingira,akishakuwa bwiiii basi mkojo anaushusha popote pale.
 
umesahau ya mwisho hakuna watu! na ndio maana watu wanakimbia moshi kwa sababu ulizohainisha kama kweli
 
Kumbe kwao hawafanyi hivyo vitu wanakuja kuvifanyia mikoani eenh?Maana machangu kibao wa dar wanatoka huko,waokota makopo tena hadi watoto wadogo wapo wakutosha tu wanatokea huko. Halafu mangi hapa kitaa ndiyo anaongoza kwa kuchafua mazingira,akishakuwa bwiiii basi mkojo anaushusha popote pale.

Hata mashoga wa TA wengi wanatoka huko
 
kuna wanawake malaya kama wachaga arusha heee,,, tongoza dem wa kichaga uone! anataka pesa mbele,,, na anakwambia waz kuwa yeye kama ni chupi kaiacha kikavu,,, kwaio ni pesa yako tu....
 
1. Moshi hakuna waokota machupa.
2. Moshi hakuna mateja.
3. Moshi hakunuki Mikojo.
4. Moshi hakuna machangudoa.
5. Moshi hakuna wachoma vitumbua jioni Barabarani.
6. Moshi hakuna kukatika umeme wala Maji.
7. Moshi hakuna ombaomba.
8. Moshi hakuna foleni Barabarani.
9. Moshi hakuna wapiga debe.
10. Moshi hakuna matangazo ya waganga Barabarani.
11. Moshi hakuna vijiwe vya Gahawa.
12. Moshi hakuna vumbi.
14. Moshi hakuna makelele ya 9t Club kwenye makazi ya watu.
15. Moshi hakuna Gesti bubu kuna Hotel.
16. Moshi hukuti bendera ya CCM ikipepea.
17. Moshi ukiingia Disco utakuta nusu wazungu, nusu Wabongo.
18. Moshi vijana hawanyoi Kiduku.
19. Moshi vijana hawavai mlegezo.
20. Cha mwisho na muhimu, Moshi Mirungi inapatikana kuanzia saa Nne Asubuhi.

mbulula
 
wanaokataa kuhusu moshi hao hawajui moshi labda wameishia hedaru ni kweli moshi hakuna ujinga huo hata kidogo kamavp kamuulizen mengi wa itv
 
Back
Top Bottom