hapa ndo utaamini wachagga ni Kabila bora hapa TZ

Gang Chomba

Platinum Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,734
Reaction score
4,871
1. Moshi hakuna waokota machupa.
2. Moshi hakuna mateja.
3. Moshi hakunuki Mikojo.
4. Moshi hakuna machangudoa.
5. Moshi hakuna wachoma vitumbua jioni Barabarani.
6. Moshi hakuna kukatika umeme wala Maji.
7. Moshi hakuna ombaomba.
8. Moshi hakuna foleni Barabarani.
9. Moshi hakuna wapiga debe.
10. Moshi hakuna matangazo ya waganga Barabarani.
11. Moshi hakuna vijiwe vya Gahawa.
12. Moshi hakuna vumbi.
14. Moshi hakuna makelele ya 9t Club kwenye makazi ya watu.
15. Moshi hakuna Gesti bubu kuna Hotel.
16. Moshi hukuti bendera ya CCM ikipepea.
17. Moshi ukiingia Disco utakuta nusu wazungu, nusu Wabongo.
18. Moshi vijana hawanyoi Kiduku.
19. Moshi vijana hawavai mlegezo.
20. Cha mwisho na muhimu, Moshi Mirungi inapatikana kuanzia saa Nne Asubuhi.
 
Hiyo namba tisa, kwa mara ya mwisho ulifika Moshi lini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hiyo co moshi ya mkoa wa killimanjaro Tanzania, labda una moshi yako bana. Moshi kila ulichoandika hakipo kipo sana tu labda wewe sio mwenyeji wa moshi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Umewapamba sana wachaga kwa sababu uzijuazo wewe! Yote, labda namba 16 yanapatikana miji mingi hapa Tz.
 
Wapiga debe wapo tena wapiga finga, pia umeme unakatika tu.
 
Juz juz tu nilikuwa niko na malaya la kichaga moshi pale, na hata hivyo hapa mjini kwetu malaya wengi wachaga ndo wengi.chunguza mjomba utabaini
 
dar safi sana kweli moshi hakuna hayo,na uchafu hakuna,mikoa mingine watu wanakojolea nguzo za umeme mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wajinga hawa wanapenda kujisifu sana. Wawadanganye wasiowajua. Mimi niliwajua baada ya kuishi huko kwao. Hawana lolote.
 
Wewe .ni muongo tena muongo mkubwa ....
 
Juz juz tu nilikuwa niko na malaya la kichaga moshi pale, na hata hivyo hapa mjini kwetu malaya wengi wachaga ndo wengi.chunguza mjomba utabaini


Huyo sio Malaya.
Huyo ni mke mwema.
 
Moshi pia hakuna vibanda vya kuuza Utumbo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…