hapa ndo utaamini wachagga ni Kabila bora hapa TZ


no.4 hapo inahusika sana,acha kudanganya watu
 
Ile stendi yenu sijui bomangoma mivumbi kibao. Na wachaga wapike vitumbua kweni chakula yao...au wanavijulia wapi?
 
dar safi sana kweli moshi hakuna hayo,na uchafu hakuna,mikoa mingine watu wanakojolea nguzo za umeme mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Si wanaona hazina thamani mara ziwe na umeme mara hazina sasa kwa nini zisikojolewe?
 
jamaa alipita tu akienda kwa shemeji yake huko mbulu. mengi yapo ila huwezi kutasikia kama ya dar.
 
Mkuu hiyo namba 4 hapo si kweli kama unabisha pita pale maeneo ya vodashop kama unaelekea malindi club kuanzia saa mbili utaona kama hawapo
 
21.Huua Waume zao ili warithi Mali...


Ila Kuna vitu vingi umeandika ni vya Uongo uliotukuka
 
Ile stendi yenu sijui bomangoma mivumbi kibao. Na wachaga wapike vitumbua kweni chakula yao...au wanavijulia wapi?


Vitumbua havina mwenyewe wewee acha ushamba wako.
Nyie ndio mnaosema Mtori ni chakula cha Wachagga matokeo yake mkipigwa na Typhoid au U.T.I mnaagiza mletewe Mtori...inahuu?
 
Mkuu hiyo namba 4 hapo si kweli kama unabisha pita pale maeneo ya vodashop kama unaelekea malindi club kuanzia saa mbili utaona kama hawapo


ndio nipo hapa saa hizi...
Na hakuna hao watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…