Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
hilo nakubaliana na wewe, japo mimi sikuwa jambawazi....labda mwenzangu...!Moshi KILA MWANAUME NI JAMBAZI!
Mbona humuelezi huyo mchaga mwenzio alisomea hakupikwi vitumbua? Halafu usidanganye umati vitumbua mnaiga tu:love:Vitumbua havina mwenyewe wewee acha ushamba wako.
Nyie ndio mnaosema Mtori ni chakula cha Wachagga matokeo yake mkipigwa na Typhoid au U.T.I mnaagiza mletewe Mtori...inahuu?
Anaerithi Mali sio mke...
Haya futa mapovu sasa...
Watoto Mke huwa ni Msimamizi
Kumbe kwao hawafanyi hivyo vitu wanakuja kuvifanyia mikoani eenh?Maana machangu kibao wa dar wanatoka huko,waokota makopo tena hadi watoto wadogo wapo wakutosha tu wanatokea huko. Halafu mangi hapa kitaa ndiyo anaongoza kwa kuchafua mazingira,akishakuwa bwiiii basi mkojo anaushusha popote pale.
mkuu hebu futa mapovu kisha kaulizie mifumo ya uongozi na urithi wa wachagga...
1. Moshi hakuna waokota machupa.
2. Moshi hakuna mateja.
3. Moshi hakunuki Mikojo.
4. Moshi hakuna machangudoa.
5. Moshi hakuna wachoma vitumbua jioni Barabarani.
6. Moshi hakuna kukatika umeme wala Maji.
7. Moshi hakuna ombaomba.
8. Moshi hakuna foleni Barabarani.
9. Moshi hakuna wapiga debe.
10. Moshi hakuna matangazo ya waganga Barabarani.
11. Moshi hakuna vijiwe vya Gahawa.
12. Moshi hakuna vumbi.
14. Moshi hakuna makelele ya 9t Club kwenye makazi ya watu.
15. Moshi hakuna Gesti bubu kuna Hotel.
16. Moshi hukuti bendera ya CCM ikipepea.
17. Moshi ukiingia Disco utakuta nusu wazungu, nusu Wabongo.
18. Moshi vijana hawanyoi Kiduku.
19. Moshi vijana hawavai mlegezo.
20. Cha mwisho na muhimu, Moshi Mirungi inapatikana kuanzia saa Nne Asubuhi.