Hapa ni eneo gani kati ya Ubungo na Kariakoo - DSM

Kweli , sijui kwa nn naufananisha na mlima wa kibo ukitokea ubungo , kwa Miaka ya 80 ulikuwa ni mlima haswa
 
inachokiona hapo kabla hilo lilikuwa "daladala" la Ubungo to Kariakoo lakini lilipochoka kupita kiasi, likawa linapiga route za shamba,
Lakini wangechomoa kibao, ikumbukwe enzi hizo sheria zilikuwa kali, mfano ni pale magari madogo yote yalikuwa hayaruhusiwi kutembea Jumapili baada ya saa 7 au 8 kama sijakosea, kwahiyo hata kibao kisingeachwa hapo iwapo bus lilikuwa linakwenda shamba
 
Naona kuna mlima nyuma kule, Magomeni mlima upo eneo gani Mkuu
milima ya pembezoni mwa morogoro road pale Kibanda cha mkaa bado ipo?

sa imagine miaka hio pale kama unapanda kutokea Jagwani kenda Magomeni Mapipa Hamna miinuko??

Enzi hizo Sinza ilikuwa mashamba ya mpunga
 
Pembeni naona kuna jamaa anatongoza demu. Watakuwa wameshafariki hao maana muda umepita sana au ni wazee sana umri wa Mzee Mwinyi
Una macho mazuri sana ni kweli binti anaonekana anatafuna kucha kama ishara ya "niangusage tu sambi sako mwenyewe"😂🤣
 
Pembeni naona kuna jamaa anatongoza demu. Watakuwa wameshafariki hao maana muda umepita sana au ni wazee sana umri wa Mzee Mwinyi
Sio zamani kivile,mwaka 1991 nikiwa pale kivukoni ilikuepo stand ya mabasi mikangafu kama hilo,,daladala za kawaida ilikuwa ni chai maharage,,
 
Sisiemu Revolution!!! Hongera sana awamu ya 5 kwa kuleta mabadiliko & maendeleo makubwa yanayoonekana since 2016!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…