Hapa ni eneo gani kati ya Ubungo na Kariakoo - DSM

Hapa ni eneo gani kati ya Ubungo na Kariakoo - DSM

Hapo siyo Dar, huo mlima na angalia tairi zina udongo mwekundu, hiyo labda Msanga Ngongele
Umepotea lilipo jengo la ubungo plaza mpunga umeachwa kulimwa Miaka ya 2000 kama sikosei
 
1615140539965.png


Kumbe maisha ya Mbagala kuning'inia milangoni yalianza kitambo
 
Back
Top Bottom