Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

Kweli tunapanga ila na Mungu naye anapanga. Mungu atusaidie sana tuwe na kiasi katika maisha yetu.
 
Zile VETA za Chato sasa
 
Hahaha umepagawa niggah!!

Sasa hayo magofu unayaita kua ni majengo ..

Msiba au lissu ndio anakuchanganya
Wewe uliyaona miaka ya 70’s wakati ni mapya? Hao mapapa na ma UN secretary general hawakuyatumia?
 
Mkuu hakuna mimi na wewe tunachoweza kufanya katika kubadilisha hali iliyopo. Ni kujitakia sononeko na maumivu ya moyo pasipo kuwa na ulazima.

HAPANA, Tunaweza kubadili...

Ni kwa kumuomba Mungu muumba watu asaidie kubadili mambo...

Tatizo lako ni moja. Unatetea uovu na unau - cherish badala ya kuukataa na kuukemea...

Eti Mrema alifanya hivyo; Msuya and the likes...

Ukiwa na mtazamo huu, utaishia kusema mambo hayawezi kubadilika...

Yatabadilikaji kama fikra zako (mindset) yako iko fixed..?

SASA BASI ISHU IKO HIVI;

Sisi tulikuwa tunaomba ili kubadilisha mambo, Mungu kasikia maombi yetu, amejibu...

Hilo Jiwe limelala na limekuwa jiwe kweli lisilo na uhai wowote. Na mabadiliko yanaendelea...

Hivi ndivyo Mungu Muumba anavyotenda kazi yake...

Unamkumbuka Mfalme Herode aliyeamuru watoto wote wa umri wa miaka 0 - 2 around Bethlehem wauwawe kwa sababu ya Mtoto Yesu Kristo?

Unajua Mungu alili - fix vipi tatizo hili?

Aliruhusu kifo (mauti) imfike Mfalme Herode kwa ajili kuruhusu Msimu mpya kuingia...

Tanzania hivyo hivyo leo. Haya ni majibu ya Mungu kwa kilio cha watu wake...

Tunaingia msimu Mpya sasa....
 
Washamba wenzie marehemu kina Shigongo walishwekeza Chato kwa kujenga mahoteli Chato nadhani hela ya mwisho kupata itakuwa watu watakaokwenda msibani baada ya hapo wasubirie kuuzwa nyumba zao na benki
 
Sie bure, wewe utakuwa ni mhanga wa zile issue za mishahara hewa. Mirija ilipobanwa lazima njaa iingie nyumbani.

Kumbuka mkuu kwamba njia yetu ni moja. Siku yako ya kulala na wewe itafika ukiwaacha wengine wakiendelea kulifurahia jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…