Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

Yanaenda kutimia sasa.
Mwamba ameshalala milele, na sarakasi zake zinakwenda kusahaulika.
So sad.
 
Hahaha ukisoma yaliyomo humu JF na ukalinganisha na unayoyaona na kusikia mitaani unaweza ukachanganyikiwa...mashetani wamo humu JF lakini mitaani wamo wananchi kwa mamilioni wanaomlilia JPM a true son of Tanzania and Africa in general
Kwan hao wa jf wanaishi Kosovo? Kila mtu ashinde mechi zake tusipangiane maisha.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Watu hawapendi kujifunza kutoka katika historia
 
You will also die...and you will be escorted by barking dogs...you will lie in shame in a pit...
Ukifa umekufa. Hayo mengine ni porojo.

Huyu acha tushangilie sababu alikuwa Mungu mtu.
 
Kaa huko na ndoto zako za kupenda kula pesa za wananchi. Na bado... mtaisoma namba hadi mnyooke
Bibi pole kwa msiba babu ndo hivo tena😢😢😢🖑🖑🖑mitano tena😃😃
 
Charity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
Kwa nini unasema Kaskazini? Huku Mbeya alifanya nini? Lindi je? Zaidi ya kupora korosho zetu? Chato wana hadi budget surplus ya mil 50 wakati wilaya nyingie hela hawapelekewi.

Makusanyo kwa Mwaka Chato ni bil 2 lakini walikuwa wanapelekewa zaidi ya bil 100 kwa mwaka! Ilihali wilaya kama ya Kilwa yenye kuzalisha gasi inayowapa umeme watanzania wote hawapewi hata robo ya hiyo hela. Haikuwa sawa alivyokuwa anafanya huyu mpendwa wenu.
Ushauri wangu kwake ni yeye aufanye huo uwanja uwe mali ya JWTZ ili wawe wanafanyia mazoezi yao huko
Huu ushauri ni valid kabisa. Muda utaamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…