antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mmefumania shamba la bibi eeh? Kazi kwenu!!!Mtake msitake safari hii mtademka sana na Zenj yetu na tumeanzana salaam ya "Mercedes Benz" kwani ni antelezaaaaa mpaka makunduuchi tukiwa tumelala
Alifariki kwa ngomaYule mtoto wake aliyejiita Saadam Hussein yuko wapi? Maana jamaa alivuna sana Wenge Musica walimuimba sana.
Wewe acha ujinga hivi unaijua chato au?Kama vile chattle itavyokuwa after 4 yrs[emoji18][emoji18]
Uzao wa Mobutu unasikitisha binti yake alikua hotelier ParisMshikaji alichomoka na ngwengwe.
Kama ni sheria kosa lipo wapiJana niliona TBC wanasema kuna sheria inawapa wazenji haki ya 21% ya ajira zoote za Muungano. So, WANATAKA itekelezwe kikamilifu.
Yaani watu m1 wanajimilikisha 21% ya nafasi zote za ajira[emoji849]
Tatizo locationHiyo nchi nayo ni ya kifala. Wameshindwa kuutumia huo mjemgo kama hoteli?
Location imefanyaje? Hotel nzuri inafuatwa popote pale kama huduma ni nzuri. Tena wangepiga pesa sana watu wangetamani kushuhudia jumba la Mobutu.Tatizo location
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbali kote huko?
Waliojipendekeza kuwekeza kule wamesharudi mjini. Gesti hazina wateja Tena, bar inauzika kreti moja au mbili.
Umewagusa penyewe, ukiona mtu analia na magu, ujue aliguswa angle yake, nao si wengine.Acheni upuuzi usio na tija,Chato kweni hakuna familia miaka yote ?Mobutu alipotea na familia haikujulikana kwa sababu za kivita,sasa nchi yenye vita unakujaje kufananisha na kwetu kusiko na machafuko? Mtu aliyefanya makubwa kwenye inchi hii mnajaribu kumtengenezea mada za kijinga, fisadi na vyeti feki mna matatizo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtake msitake safari hii mtademka sana na Zenj yetu na tumeanzana salaam ya "Mercedes Benz" kwani ni antelezaaaaa mpaka makunduuchi tukiwa tumelala
Na mie nashangaa hapo tyuuh.Hiyo nchi nayo ni ya kifala. Wameshindwa kuutumia huo mjemgo kama hoteli?
Ni ukosefu wa akili
Laana hizo.Uzao wa Mobutu unasikitisha binti yake alikua hotelier Paris
Hapo hapo kwa Manji.Umewagusa penyewe, ukiona mtu analia na magu, ujue aliguswa angle yake, nao si wengine.
- vyeti feki
- mafisadi
- maharamia
- watu wa rushwa, hasa vibopa mfano manji
- wazembe, wavivu, n. K
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kasema watawala,.Who is this post dedicated to?
Magu kufunikwa na mama mpaka aibuHapo hapo kwa Manji.
Manji kaondoka anakula good time huko aliko.
Tell me, ajira ngapi zimepotea baada ya manji kuondoka?
Hata Kama alikua na mapungufu tungeweza kukaa na kuyatatua.
Every time let us listen to the other party before we decide.
Huwezi kumkomoa mtu mwenye pesa ukiacha Singasinga na mzee mzima