Ama kweli usicheze na Mungu!
Mobutu Seseseko aliyejua Dictator kutoka Congo wakati huo Zaire alijikusanyia utajiri wa ajabu akitegemea kama si yeye basi kizazi chake kinaishi katika ukwasi uliopindukia,lakini hali imekuwa tofauti kabisa?
Mobutu alipendea kijijini kwake kwa kujenga kila kilichostahili na kuacha sehemu nyingine za congo kuwa hohehahe!
Gbadolite nipo alipotokea alijenga jumba ambalo mpaka sasa hakuna kiongozi wa Afrika ameshajenga
1) Kulijua na Mbuga ya wanyama hadi tiger kutoka india
2) Kulikua na kiwanja cha kisasa cha ndege
3) Jumba lilikua na security system kutoka Israel
4) Automatic air condition kutoka Amerika
4) Milango na madirisha kutoka dhahabu safi ya katanga
5) Vioo inch3-4 bullet proof
Nk
Hakika ilikua ni hatari, sasa ona picha kilichofuata hakika ni somo zuri kwa watawala