Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

Hiyo nchi nayo ni ya kifala. Wameshindwa kuutumia huo mjemgo kama hoteli?
 
Jana niliona TBC wanasema kuna sheria inawapa wazenji haki ya 21% ya ajira zoote za Muungano. So, WANATAKA itekelezwe kikamilifu.

Yaani watu m1 wanajimilikisha 21% ya nafasi zote za ajira[emoji849]
Kama ni sheria kosa lipo wapi
 
Acheni upuuzi usio na tija,Chato kweni hakuna familia miaka yote ?Mobutu alipotea na familia haikujulikana kwa sababu za kivita,sasa nchi yenye vita unakujaje kufananisha na kwetu kusiko na machafuko? Mtu aliyefanya makubwa kwenye inchi hii mnajaribu kumtengenezea mada za kijinga, fisadi na vyeti feki mna matatizo sana
Umewagusa penyewe, ukiona mtu analia na magu, ujue aliguswa angle yake, nao si wengine.

  • vyeti feki
  • mafisadi
  • maharamia
  • watu wa rushwa, hasa vibopa mfano manji
  • wazembe, wavivu, n. K

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hapo hapo kwa Manji.
Manji kaondoka anakula good time huko aliko.
Tell me, ajira ngapi zimepotea baada ya manji kuondoka?
Hata Kama alikua na mapungufu tungeweza kukaa na kuyatatua.
Every time let us listen to the other party before we decide.
Huwezi kumkomoa mtu mwenye pesa ukiacha Singasinga na mzee mzima
 
Ama kweli usicheze na Mungu!

Mobutu Seseseko aliyejua Dictator kutoka Congo wakati huo Zaire alijikusanyia utajiri wa ajabu akitegemea kama si yeye basi kizazi chake kinaishi katika ukwasi uliopindukia,lakini hali imekuwa tofauti kabisa?

Mobutu alipendea kijijini kwake kwa kujenga kila kilichostahili na kuacha sehemu nyingine za congo kuwa hohehahe!

Gbadolite nipo alipotokea alijenga jumba ambalo mpaka sasa hakuna kiongozi wa Afrika ameshajenga

1) Kulijua na Mbuga ya wanyama hadi tiger kutoka india
2) Kulikua na kiwanja cha kisasa cha ndege
3) Jumba lilikua na security system kutoka Israel
4) Automatic air condition kutoka Amerika
4) Milango na madirisha kutoka dhahabu safi ya katanga
5) Vioo inch3-4 bullet proof

Nk
Hakika ilikua ni hatari, sasa ona picha kilichofuata hakika ni somo zuri kwa watawala

FB_IMG_1620754550960.jpg
FB_IMG_1620754540296.jpg
 
Hapo hapo kwa Manji.
Manji kaondoka anakula good time huko aliko.
Tell me, ajira ngapi zimepotea baada ya manji kuondoka?
Hata Kama alikua na mapungufu tungeweza kukaa na kuyatatua.
Every time let us listen to the other party before we decide.
Huwezi kumkomoa mtu mwenye pesa ukiacha Singasinga na mzee mzima
Magu kufunikwa na mama mpaka aibu
 
Back
Top Bottom