Nguvu ya uchawi wa mobutu ilikuwa kwenye mnyama chui thus alivaa kofia ya ngozi ya chui. Aliamini Sana waganga kuliko akili yake thus akafanya mambo ya hovyo Sana kama mtu asiyepita darasani.
Ndumba upunguza uwezo wa kufikiri.

Hana tofauti na Kayafa wetu aliwasajili kila aina ya Waganga na Wachawi kwa msaada ya Bashite na kuwapa hifadhi Chato ndio maana kila mara alikuwa anakimbilia huko.