Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

Kwa ushahidi wa ulimwengu usioonekana, Mobutu yupo kuzimu anajuta Sana matendo yake,anawaasa watawala watende haki. Alipewa awatumikie watu akawatesa
 
Nguvu ya uchawi wa mobutu ilikuwa kwenye mnyama chui thus alivaa kofia ya ngozi ya chui. Aliamini Sana waganga kuliko akili yake thus akafanya mambo ya hovyo Sana kama mtu asiyepita darasani.
Ndumba upunguza uwezo wa kufikiri.
 
Hana tofauti na Kayafa wetu aliwasajili kila aina ya Waganga na Wachawi kwa msaada ya Bashite na kuwapa hifadhi Chato ndio maana kila mara alikuwa anakimbilia huko.
 
Back
Top Bottom